Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,842
so wewe upo kisalary slip zaidi sio?
Siwezi kuishi na mwanaume ambaye hawezi kuchangia hata pesa ya kununua mkate... Naomba niwe mkweli kwa hili..
so wewe upo kisalary slip zaidi sio?
nikuambie kitu pesa si kitu maishani...unaweza kupata mtu mwenye hela na uteseke maisha yako yote
hata kama jamani hela si inatafutwa tu? Ndo iwekwe mbele hivo?
HAKUNA MAPENZI BILA PESA!!! BAAAAAASI! Wewe fikiria mtu akiwa hana pesa ataexpress vipi upendo? NO MIZAWADI, NO OUTINGS,NO SHOPPING, NO KUPIGIANA SIMU(bajeti atiii), NO MDA WA KUCHEZEA. Yaani mi sioni a way out, maybe ukubali kuishi a boring life! Tatizo hata ukimkubali bila pesa,siku akipata anakuona si SIZE YAKE atii anaanza kuifuata MIGUBELI YA JIJI @ bongo movies. ponda mali kufa kwaja!!!!!
so demu choka mbaya hutaki
Naombeni mnijibu kwa kina
kwanini wanaume wengi wakitaka kumtongoza mwanamke siku hizi hili swali ndo no moja?
akikuuliza Jina lako swali linalofuatia Unafanya Kazi wapi? kama huna au jibu ni mimi mwanafunzi,mawasiliano kwisha!
mbili...
tunakoelekea Pesa au majumba na Magari ndo 1st priority ktk kuolewa na sio someones Heart..! ndo maana hata ndoa nyingi zinavunjika maybe!
in short kwa nini katika kuoa/kuolewa watu wengi siku hizi wanaangalia uwezo wa muoaji/muolewaji na sio mapenzi mioyoni mwenu?
ni maisha kuwa magumu ? au ni tamaa au ni wanaume kuwa wavivu na kuogopa majukumu au ni nini haswa?
pesa/mali zina nafasi yake.
Ukiachia mapenzi ya kihindi na tamthilia, mezani hamtatenga moyo, ada za watoto hamtalipa kwa moyo, bado huduma za malazi na nguo.Siku hizi ni kupenda blindlessly.
hata kama jamani hela si inatafutwa tu? Ndo iwekwe mbele hivo?
that's right ndugu.. tutazunguka weeee mwisho wa siku tutarudi palepale.. pesa/mali ni force behind love
HAKUNA MAPENZI BILA PESA!!! BAAAAAASI! Wewe fikiria mtu akiwa hana pesa ataexpress vipi upendo? NO MIZAWADI, NO OUTINGS,NO SHOPPING, NO KUPIGIANA SIMU(bajeti atiii), NO MDA WA KUCHEZEA. Yaani mi sioni a way out, maybe ukubali kuishi a boring life! Tatizo hata ukimkubali bila pesa,siku akipata anakuona si SIZE YAKE atii anaanza kuifuata MIGUBELI YA JIJI @ bongo movies. ponda mali kufa kwaja!!!!!
haya sasa ni maisha si mapenzi. maisha hayaendi bila pesa. pesa hutengeneza mapenzi bandia. lakini mapenzi ni sehemu muhimu sana ya maisha na mapenzi bila pesa yanawezekana ila maisha bila pesa sijui yatakkuwaje think big
tatizo la kupitia falsafa linanisumbua. nimeona kama nimechokozwa basi ngoja nipoe. nisamehe bureMzamifu nawe kwa kugumuza mambooo! PESA+MAPENZI=STABLE REATION= HEALTHY MARRIAGE. BAAAAAS! Kama hesabu ya darasa la kwanza.