Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Tatizo za watu wanapo fall kwa mtu wanaweka akili pembeni wanaacha hisia ziwaongoze halafu mwisho wanaanza kutuhumiana, ooh nilikupenda lakini uliniona sifai!! utamlaumu nani kama wewe mwenyewe umeshindwa kutumia akili yako kwa faida yako?