Wanaume kuweni na huruma

Wanaume kuweni na huruma

Huyu mwanaume atakuwa ni mdanganyifu...

Ni ngumu mtu kudanganya mpaka kufunga ndoa...hata kama ndoa zinavunjika lakini hazikuanza kama maigizo....

Huyu jamaa anaweza alikuwa anamzuga binti from day one..

Sasa mtu umzalie ukitegemea ndio mtaji wa ndoa...si sawa na kukata ticket ya bahati nasibu...

Wewe ukikubali kuzaa kubali kulea maana kuna uwezekano usiolewe kama hivi...


Anaweza kukuacha hata kama mmefunga ndoa

Ni bora tu kutafuta njia ya kuhakikisha kuwa huyo ulienae sio kimeo basi!
 
Mtu akiwa honest kuwa hataki commitment ni just good times mnamuona wa ajabu kumbe hadi mkutane na vimeo ndo mjifunze

bwa wee...tunatukanwa na kutukanwa..oh umeniona mie dampo la shahawaa zako.
mwanamke nae bweg.e tuu. wee hujaolewa unadaka mimba ya nini? na kwa nini umpe papuchi yako kama hajakuoa
 
Bora angesema bahati mbaya...'wamediscuss'....

Yani mna discuss kuzaa bila ndoa...afu unakuja kulia lia...


bwa wee...tunatukanwa na kutukanwa..oh umeniona mie dampo la shahawaa zako.
mwanamke nae bweg.e tuu. wee hujaolewa unadaka mimba ya nini? na kwa nini umpe papuchi yako kama hajakuoa
 
Huyu mwanaume atakuwa ni mdanganyifu...

Ni ngumu mtu kudanganya mpaka kufunga ndoa...hata kama ndoa zinavunjika lakini hazikuanza kama maigizo....

Huyu jamaa anaweza alikuwa anamzuga binti from day one..

Sasa mtu umzalie ukitegemea ndio mtaji wa ndoa...si sawa na kukata ticket ya bahati nasibu...

Wewe ukikubali kuzaa kubali kulea maana kuna uwezekano usiolewe kama hivi...

Inawezekana ni kweli huyu jamaa alikuwa anamdanganya huyu binti tangu day one

Lakini wapo ambao wanadanganya hadi kufikia huko,omba usikutane nao hao

Cha msingi ni dada kujifunza kupitia makosa yake basi

Maji yameshamwagika hayo!
 
Mgeni huyu, pale alipokubali kuzaa bila ndoa ajue alijiandaa kuwa single mother.

Nachoshangaa ni kuacha kazi/biashara kwenda huko alikoenda. Sasa ndoa kakosa na.biashara imeanguka.

Baadhi ya wanawake wanapenda ku play victims bila sababu.

Bora angesema bahati mbaya...'wamediscuss'....

Yani mna discuss kuzaa bila ndoa...afu unakuja kulia lia...
 
Pole mwaya. Mtu mzima hatishiwi nyau. Mungu aache mambo ya msingi amshughulikie huyo jamaa?? kama Mungu yupo mpigie magoti sasa umuombe radhi na akutie nguvu uufaulu huu mtihani ulio nao sasa hivi. Maisha ni mtihani atii. Huwa tunapewa maswali marahisi, tukiboronga tunapewa maswali magumu zaidi. Kuja kwa huyo jamaa lilikuwa jaribio gumu we ukaliona rahisi ukatumia tu akili za haraka haraka wala hukutaka kujiandaa kulikabili. Jaribio la pili ndo hili. Komaa na Mungu wako uufaulu huu mtihani.
 
Pole kwa yaliyokusibu. Ila kama kuna ambapo binti anaweza kuchemka ni kuwa tayari kumzalia mwanaume pasipo ndoa.

Kama anakupenda aache woga na afuate right procedures
 
unakua na mwanamke unamkuta na maisha yake mazuri na furaha tele!!! unamwambia unampenda na ahadi kibao mpaka kwenu unampeleka ikibidi hata anapoishi unamuamisha na kukufata wewe kama na kazi/ biashara zake anasitisha na kurudi nyuma ili tu akufate ulipo!!!! baada ya kumpa ujauzito unamwambia haumtaki wala haumpendi tena umepata mwingine tena unamtamkia maneno hayo mazito akiwa na ujauzito miezi saba! humuonei hata huruma na hali yake jmn!!! hata mtoto humuonei huruma.. hata hufikuriii tayar mwenzio umemrudisha nyuma kimaendeleo, mbaya zaidi ni wewe ulikua unamlilia kila siku unaham na mtoto !!!!
kumbuka aliacha kila kitu kwa ajiri yako kuweni na hofu ya mungu jaman.. kumbukeni mungu yupo tu!!!!
watoto wanne kati ya watoto kumi wanaume tumebambikiwa , ukiona hivyo jamaa kashituka
 
Wanawake nanyi mnajiendekeza

Mtu anayekupenda kwa dhati hatoruhusu uache kazi biashara wala kipato. Kama mpo mbalu mtatafuta suluhisho kwa pamoja...

Tatizo hamuonagi hilo
 
unakua na mwanamke unamkuta na maisha yake mazuri na furaha tele!!! unamwambia unampenda na ahadi kibao mpaka kwenu unampeleka ikibidi hata anapoishi unamuamisha na kukufata wewe kama na kazi/ biashara zake anasitisha na kurudi nyuma ili tu akufate ulipo!!!! baada ya kumpa ujauzito unamwambia haumtaki wala haumpendi tena umepata mwingine tena unamtamkia maneno hayo mazito akiwa na ujauzito miezi saba! humuonei hata huruma na hali yake jmn!!! hata mtoto humuonei huruma.. hata hufikuriii tayar mwenzio umemrudisha nyuma kimaendeleo, mbaya zaidi ni wewe ulikua unamlilia kila siku unaham na mtoto !!!!
kumbuka aliacha kila kitu kwa ajiri yako kuweni na hofu ya mungu jaman.. kumbukeni mungu yupo tu!!!!

Kuna uwezekano kuna mtu ulisha wahi kumfanyia ivo so yamekurudi au unavijitabia vya ajabu coz wanawake huwa mnajifanya mnaongea kwa huruma kumbe...daaah!.
 
pole kwa yaliyokukuta , huyo kashampata mtu wanaendana mapigo huko kwingine.
 
Kweli lakini, usimuharibie mtu maisha yake kama ulimuona hakufai toka awali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom