Katika ndoa wote tunajua kuwa ni kusaidiana yaani katika kazi na majukumu mengine,sasa kuna wanaume kwenye ndoa zao wanakua kama mke wake ni housegirl wake,kupika kila siku yeye,kufua,kudeki.kidume akija yeye ni kula tu na kujimwayamwaya kitandani,kiukweli hali hii si nzuri.
Wengine hatuna matatizo na kupika. Tunapika kila mara.
Ujifunze na mengine basi kufua,kudeki πππ
Wacha niseme am lucky,wangu mie ananisaidia kila kazi bila hata ya kumuomba....nfkiri inategemea na malezi....
Malezi,mazoea na mfumo dume ndio chanzo.
Wasaidieni wake zenu bana ili waweze kuwahudumia vizuri faragha!!
Mbona nnajua mengi tu. Sifuliwi nguo na mtu. Na huwa sideki kwa kutumia ile mitambara. Nina hardwood floors na kapeti. Natumia mop na vacuum cleaner.
Sijui kumtumikisha mtu.
Tyta weee mfuaji mzuri kwel nguo zimetakataka nyeupeeeee
Naah hiyo huwezi nikuta nikifanya.
Niceeππππ
Hukuniambia ilikuaje siku ile ya kitu nyama ya mbuzi
Naah hiyo huwezi nikuta nikifanya.
Ahhahahaha lol....si utakua wafua moja moja πππ
ww ni mdau wa NFL...???Ilikuwa baab kubwa. Na hivi Seahawaks walishinda kwa kishindo....
Wenye kupenda Heineken walizishushia, wenye kupenda Mad Dog 20/20 nazo zilikuwepo. Ilikuwa bomba sana