Kuna dogo namfahamu alitupiwa virago nje..ila cha ajabu baada ya miezi minne karudi kule kule..Mnadharau sana ndio utasikia mwanaume suruali
Bonge la AibuKuna dogo namfahamu alitupiwa virago nje..ila cha ajabu baada ya miezi minne karudi kule kule..
Unajua kuna wanaume wanajibweteka sana na hawawezi kuhangaika so wanaona huko ndo kwa kuponea..ila all in all ni maisha mabaya sana..imagine eti unakaa kwa mwanamke, kitanda chake, tv yake, sofa zake mpaka vijiko vya kwake..kweli kuna ndoa hapo?
Hata mimi siwezi kuoa wa hivyo bora nitafute wa la saba tu ...Habari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
InawezekanLabda kama huna papuch
Una sura mbaya
Ntakuogopa sana
hahahaaa hapana wakuswampa...hali ndio iko hivyo ila nyie hamtaki kukbali tu.Hakunaga dharau mnajistukia tu, hamjiamini...mmekuzwa na mfumo dime kuwa Juu, shida inaanzia hapo
Nasubr itoke kutoka kwakoHaya wanaume mkujee. ....fursa hiyo
Sio woga mzee hatupendi dharauMaendeleo Fanya na kwa hilo nikupongeze, lkn ni ukweli ulio waz wanaume ni waoga sana kwa madem wanao wazidi kipato
Hii ni kweli. Ikitokea ukaoa mwanamke anayekuzidi kipato utasimangwa na ndugu zake. Mara nyingi wanakuwa na hisia kwamba umekwenda kumchuna ndugu yao.Hawaogopi wapo wanaume wengi wanawasomesha wake zao na wengine wanawapa mitaji, lakini wanawake wa Afrika ni malimbukeni wa mali akifanikiwa tu ndoa inakuwa chungu,. .Na jamii zetu pia bado zina ujinga zinataka zione mwanaume ndiyo mwenye kipato kikubwa kwenye ndoa kuliko mwanamke. Mwanamke mwenye kipato kikubwa kuliko mume wake anatakiwa amuombe Mungu ampe hekima sana, maana hata ndungu wa mke na marafiki hua hawapendi wanaona kama huyo mwanaume anafaidi,