Kwa asilimia kubwa wanaume huogopa kuoa wanawake waliowazidi kiuchumi. Sababu kubwa ni wanaogopa kuwa wanawake watawadharau waume zaoHabari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
Mwenzangu weeeee kumbe nawe umeliona hiloHaya wanaume mkujee. ....fursa hiyo
[emoji23]lazima uwe na macho ya rohoniMwenzangu weeeee kumbe nawe umeliona hilo
Kumiliki gari na nyumba sio reason ya kuogopwa na wanaume mbona hivyo vitu vidogo siku hz wanawake wengi tu mjin wanamiliki usafiri na bado hawajaolewa unataka kuniambia hawataolewa? Huo ni mtizamo wenu hasi wanaume wanapenda wanawake wanaojielewa ,kujiheshimu na kumuheshimu mume wake regardless ya difference ya economic status so kitakachomfanya mwanamke aogopwe ni kulack hizo qualities kwan baadhi yao wakiwa na gari ama nyumba huanza dharau kwa wanaume hapo ndio tatiz hauanzia na ndio maana wengine ndoa zao hazidumu unakuta wanabaki single mother tuHabari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if linaukweli ndani take au LA. Siku ya xmass nilikua na rafiki angu mmoja tukawa tunapiga story akaniambia kua ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, unagari inabidi uolewe Mimi nikamjibu kwamba ndoa so jambo LA kukurupuka mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae...sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nna plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc...alihamaki akaniambia " shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe" hii statement imenishangaza...kwaiyo eti nisifanye maendeleo yyte eti 7bu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa Wa ndoa hivi....kwanini nisifanye kitu roho inapenda Kwa kihofia iyo kitu....swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato??? Na ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuna kuishi kwenye nyumba Yangu? Nashangaa eti
Maendeleo Fanya na kwa hilo nikupongeze, lkn ni ukweli ulio waz wanaume ni waoga sana kwa madem wanao wazidi kipatoHabari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if linaukweli ndani take au LA. Siku ya xmass nilikua na rafiki angu mmoja tukawa tunapiga story akaniambia kua ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, unagari inabidi uolewe Mimi nikamjibu kwamba ndoa so jambo LA kukurupuka mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae...sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nna plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc...alihamaki akaniambia " shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe" hii statement imenishangaza...kwaiyo eti nisifanye maendeleo yyte eti 7bu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa Wa ndoa hivi....kwanini nisifanye kitu roho inapenda Kwa kihofia iyo kitu....swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato??? Na ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuna kuishi kwenye nyumba Yangu? Nashangaa eti
Habari zenu sana jf

Hasa wakiwa na Pesa na ElimuWanawake huwa na dharau mara nyingi