umukagame
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,044
- 675
Habari wakuu,
Kwa mazingira ya kawaida na uzoefu wangu huwa naona wanawake wenye uwezo wanaogopwa na wanaume.
Ni kwa nini vijana wanawaogopa au kuwanyanyapaa wanawake wenye pesa/wanaojiweza kimaisha?
Huwa mnaogopa nini wakuu?
Semeni ya moyoni kama hao wanawake wenye mihela wapo huku wajue kabisa