Wanaume kuna ukweli kuhusu hili?

Ngoja nicheke
 
Aise usiombe yakukute unaweza ukampenda na akakuona boya tu!
Tena hawa msingi kiuno na ameumbwa na shepu kidogo,
Hakawii kukuambia na hicho kibamia unaweza kunipa mimba?
Alafu huyohuyo kesho anataka matumizi.
Ahahahahaah!una ki lemutuz??
 
Sawa kabisa, yaani sababu huwa ni wanawake wenyewe na ukichunguza utakuta huyo mwanamke kalelewa na mama tu!
Ile heshima kwa mwanaume inakuwa hamna ukija kwenye majibu mbona utatamani kuhama nyumba uliyojenga.
Source n wewe mwenyewe,jichunguze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…