Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,246
- 93,767
Imeandikwa *Ewe mwanamme mpende mke wako naye Atakuheshimu*.Nyie wanawake ndiyo huwa mnasababisha sana haya mambo kutokea kwa umalaya na majibu yenu ya kishujaa!
Sawa kabisa, yaani sababu huwa ni wanawake wenyewe na ukichunguza utakuta huyo mwanamke kalelewa na mama tu!Inategemea na sababu zinazokufanya umchukie.. Kama ni usaliti unaweza mchukua hadi mtoto .. Ukihofia huenda sio wako .
Aise usiombe yakukute unaweza ukampenda na akakuona boya tu!Imeandikwa *Ewe mwanamme mpende mke wako naye Atakuheshimu*.
Usipompenda usitegemee heshima
sijamchukia mama yeyote wa watoto wangu lakini nahisi "wanaume wanaweza kufanya hivyo kama either walishawahi kuwa cheated na mtoto huyo hawana uhakika kama wa kwake au la"...ila kama unaona kabisa mtoto umefanana naye una uhakika huo, damu ni nzito kuliko maji hata kama mwanaume hamjui Mungu kabisa naamini sio rahisi kumchukia mtoto.Habari waungwana
wanaume hivi ni Kweli kuwa ukimchukia mama WA mwanao lazima umchukie na mwanao pia??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimetoka kufuatilia uzi wa forex huko nahisi ndiyo maana sijakuelewa.
Sio kila mwanamke anastahili mapenzi yako ,,ndio maana wakasema mvuvi humjua mvuvi mwenzake hata km mtumbwi upo mbali.Aise usiombe yakukute unaweza ukampenda na akakuona boya tu!
Tena hawa msingi kiuno na ameumbwa na shepu kidogo,
Hakawii kukuambia na hicho kibamia unaweza kunipa mimba?
Alafu huyohuyo kesho anataka matumizi.
Hapo kwenye kupenda ukiuvaa mkenge ukawii kulima mtu na jembe bure!Sio kila mwanamke anastahili mapenzi yako ,,ndio maana wakasema mvuvi humjua mvuvi mwenzake hata km mtumbwi upo mbali.
Mtu km lemtuz ,, sababu yakutojua mwanamke yupo anamfaa ,matokeo yake ndo hayo yalompata !!!.....kuna wanawake ni Shits sana ,wanamaisha fulan ivi ya kisela sela ,,huyo ukiwa naye atakutukana tu siku akijisikia kufanya ivo.
Ila sure ,, Ukimpenda mwanamke atakuheshimu sana.
Swali nijee ,Nikivipi naweza kumpenda ???.
Yap that is trueNa mwanamke anaye jielewa hawezi kufanya mambo yatakayopelekea mwanaume kutokuwa na hamu na mtoto.
Na ndo kinachoendelea skuhizNdo wAzungu wanavyofanya hivyo....
Labda kama kuna wasiwasi si wa kwako, lakini ngumu sana sisi wanaume kumchukia mtotoHabari waungwana
wanaume hivi ni Kweli kuwa ukimchukia mama WA mwanao lazima umchukie na mwanao pia??
Sio kweli.Habari waungwana
wanaume hivi ni Kweli kuwa ukimchukia mama WA mwanao lazima umchukie na mwanao pia??
Sio kweli.Habari waungwana
wanaume hivi ni Kweli kuwa ukimchukia mama WA mwanao lazima umchukie na mwanao pia??
Yap!! Ila ni kwa wazungu mkuu...huku kwetu bado sana...huku kwetu hadi mimba inatolewa chezea....Na ndo kinachoendelea skuhiz
Kwa kina dada wanachotaka n mtoto
Tu wakipata mtoto bhas
Tena hivi vyenye certificate na vi-diploma acha kabisa! Ukikute kina ajira usiombe kikianza nyodo Na majibu ya hovyo kisa boss amekitaka.Na ndo kinachoendelea skuhiz
Kwa kina dada wanachotaka n mtoto
Tu wakipata mtoto bhas
Hahahaaa just love her Mkuu!! sijui nikwann ,ila mie bado ninaamin sana km True love bado IPO.Hapo kwenye kupenda ukiuvaa mkenge ukawii kulima mtu na jembe bure!
Hee hee hao ndo kabsa mm hua hataTena hivi vyenye certificate na vi-diploma acha kabisa! Ukikute kina ajira usiombe kikianza nyodo Na majibu ya hovyo kisa boss amekitaka.
Kuwepo zipo ila mpaka ikae sawa huwa kuna mengi yanapita,Hahahaaa just love her Mkuu!! sijui nikwann ,ila mie bado ninaamin sana km True love bado IPO.
Umetoka kapa tena jamani rudia huo uzi mkuuNimetoka kapa
Mkuu nirahisi sana , ujue ukishakaa mwanamke miezi miwili mitatu automatically utakua tayar umeshamsoma Moyo wake ,tayar umeshajua huyu anastahili umuishi vipi ..Kuwepo zipo ila mpaka ikae sawa huwa kuna mengi yanapita,
Unajuwa mara nyingi sura na vi-shepu vyao ndivyo vinafanya tunauvaa mkenge na siku hizi wana lesen ya gari wakisubiri mnunuzi au wakujazia hela, na ukitaka kumtibua wewe taka kuandika jina lako hata kama hela ya gari umetoa wewe.
Yap Kama wakati wake WA kutoa mbwa hukukushirikishwa Kama engineer mkuu.Habari waungwana
wanaume hivi ni Kweli kuwa ukimchukia mama WA mwanao lazima umchukie na mwanao pia??