kuna namna ya kusifia bi dada, unasifia unafikia kiasi unakosoa maandiko matakatifu kama sio ibada ya sanamu ni nini? halafu anatokea kundi la "wagumu" duuh! kaka zake wa tambaza ya miaka hiyo wangekuwepo wangemtia bakora kila kitu kina mipaka yake, unataka kusema kama mke wangu nampenda sana ndo nipindue vitu juu chini chini juu? labda hajawahi kuwa na msichana anayevutia watu wengi (wengine tunajionea kawaida maana tunajua stress zake) halafu mapenzi yenyewe sio ule mwili wake, ni ile personality na aura ya mwanamke maana kama ingekuwa mwili...loh! makahaba wangeongoza kwenye ndoa!! watu wa dizaini hii mke akipata ajali akakatika mguu (siombei hata kdg) na ndoa imeishia hapo maana inawezekana kaoa kwa macho tu !!Tatizo wanaume wengi wanaona kama vile wakiwasifia wake zao au wapenzi wao mbele za watu wataonekana wamejishusha na wameonyesha udhaifu wa hali ya juu kwahiyo wanajikuta makauzu
Ila wao wanapenda wake zao au wapenzi wao wawasifie mbele za watu aisee wanaume siyo kila kitu lazima mfanye kwa kujali wanaume wenzenu watawaonaje au watasemaje
Fanyeni kwa sababu ya mapenzi yenu kwa wake zenu au wapenzi wenu maana hao wanaume wenzenu hawatowazalia watoto
Na kwenye swala la kuzikwa hata wake zenu au wapenzi wenu wanaweza kuwazika vile vile kwahiyo muache kujifanya makauzu wakati ukweli unajulikana kabisa kwamba wanawake ndo udhaifu wenu namba moja
Wacha bna kwahiyo tusio na curve na sura za kuvutia mnatuweka wapi?Nachoweza sema huyo manzi anafaa kwa matumizi halali.
Kwanza ana curve ya kuvutia. Sura ndio usiseme.
Sio wote lakini.
Tunahangaika kuwalisha vizuri na kuwafanya muwe na furaha ili shape zije zije.Wacha bna kwahiyo tusio na curve na sura za kuvutia mnatuweka wapi?
Wengine tuna mambo ya kabatiTunahangaika kuwalisha vizuri na kuwafanya muwe na furaha ili shape zije zije.
Bora hata wewe umeona kuwa angalau unatakiwa umsifie mwanamke wako ila kwa kiasi sawa siyo mbaya ila kuna wanaume wanakwambia kumsifia mwanamke ni mwiko hata kama kweli sifa anazo na nikisema sifa simaanishi za uzuri au mvuto tu kama anazosifia nikki wa pili kuna sifa kama za akili au tabiakuna namna ya kusifia bi dada, unasifia unafikia kiasi unakosoa maandiko matakatifu kama sio ibada ya sanamu ni nini? halafu anatokea kundi la "wagumu" duuh! kaka zake wa tambaza ya miaka hiyo wangekuwepo wangemtia bakora kila kitu kina mipaka yake, unataka kusema kama mke wangu nampenda sana ndo nipindue vitu juu chini chini juu? labda hajawahi kuwa na msichana anayevutia watu wengi (wengine tunajionea kawaida maana tunajua stress zake) halafu mapenzi yenyewe sio ule mwili wake, ni ile personality na aura ya mwanamke maana kama ingekuwa mwili...loh! makahaba wangeongoza kwenye ndoa!! watu wa dizaini hii mke akipata ajali akakatika mguu (siombei hata kdg) na ndoa imeishia hapo maana inawezekana kaoa kwa macho tu !!
Hivi wanaume mnaamini chenji ni kilakitu kwa mwanamke?Acha akinadi kiua chake wenye chenji wapite nacho abakie kulialia kama eric omondi
Mambo au maumbo ?Wengine tuna mambo ya kabati
Nyie si. Mnapenda hela.Hivi wanaume mnaamini chenji ni kilakitu kwa mwanamke?
Maumbo!!! Umeelewa lakini.Mambo au maumbo ?
Hapana, sio kila kitu ila ndio kitu pekee cha kustawisha penzi, hebu imagine ungekuwa mzuri afu unakutana na mimi nakupa offer za dubai, ibiza na the likes, unachomokaje!?Hivi wanaume mnaamini chenji ni kilakitu kwa mwanamke?
Wakati unawatumia na wewe unatumikaNyie si. Mnapenda hela.
Mshatuaminisha hivyo .
Nasisi tunazisaka ili tuwatumie vizuri
Ofcoz manzi wake mzuri sana .Lakini manzi wake mzuri sanaa 😀
Wewe nakufahamuMaumbo!!! Umeelewa lakini.
Sio kila offer ni OFFERHapana, sio kila kitu ila ndio kitu pekee cha kustawisha penzi, hebu imagine ungekuwa mzuri afu unakutana na mimi nakupa offer za dubai, ibiza na the likes, unachomokaje!?
Mungu wangu.Wewe nakufahamu
hauna umbo la kabati
Last time we met ulikuwa upo kama Irine Uwoya labda uwe umeongezeka zaidi.
Bila shaka we ni wale mkipita huwa hatugeuki kuwaangalia!Sio kila offer ni OFFER