wanaume kujishaua

wanaume kujishaua

kubwalamaadui

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
328
Reaction score
51
hatupend mikorogo kumbe mnapenda kweli wanawake wanaojikoboa.
wanaojikoboa full kuoelewa na kupata mabwana,
 
Hivi demu akijikoroga hata papuchi inakuwa nzuri kweli?! Binafsi hata niwe na ukame vp sigongi mademu wa hivyo!!
 
Mimi ni white, ila napenda kweli ningekuwa black queen yan basi tu
 
ni wanaume wachache sana wanaoweza kutambua huyu kajikoboa na huyu ana weupe wake wa asili

easy, angalia kichwani, kwenye vifundo, vidoleni vya mikono na miguu, masikio na nk
 
Kusema kweli napenda wasichana weupe lakn wale wanaotumia mkorogo big NO
 
Kwani hawa viumbe huwa wanaelewa nini wanachokitaka kwa wanawake sasa? Hata hawajielewi wengi wao.
 
Me napenda mwanamke black beuty/maji ya kunde origino...kwa sababu hawajawahi kuchuja machoni pangu, weupe huwa wanachuja kabisaa. Na wanawake weusi wanaojitambua hawatumii mikorogo.
 
ni wanaume wachache sana wanaoweza kutambua huyu kajikoboa na huyu ana weupe wake wa asili


Kama sembe au rim paper? I wish to c u.Nadhani utakuwa dili zaidi ya Albino..Hahaaa.
 
mie najichubua nipo muzuri sana pia wanamume wa maana wenye mipesa nipo nao
wanamume kujishaua humu jf kibao wananitaka mie siwataki wanaume wenye hela hawaingii humu
wanaume muwache kujishaua
siku hizi haibaki alama mwili wote unakuwa sawa murangi mumoja maskini ndio wanaoacha alama vidoleni
 
kila mwanamke ni mzuri mbele ya mwanaume. akili kumkichwa.
 
Kuna kiharufu fulani kinatoka na mikorogo mingine inafanya papuchi kutoa maji badala ya ute inapoteza ladha kabisa looh ni hatari.....mnachukiza na hii mikorogo...........:angry:
 
Back
Top Bottom