Wanaume komeni kututisha

Before you judge my life, my past or my character... Walk in my shoes, walk the path I have traveled, live my sorrow, my doubts, my fear, my pain and my laughter.. Remember, everyone has a story. When you've lived my life then you can judge me...!

Kila mtu kaumizwa naona, Sasa Mwenye thread punguza mapovu!!!!! Acha watu waseme yanayowasibu kwa sababu kusema kwao ndiko wanakopata uponyaji.
 
Huyu mmakonde atakuwa wa msumbiji maana kimakonde chake kigumu mno.
 
Madhara ya Beijing.
Theoreticaly yes but practically no.
 
Dada mbona unaongea kwa kigugumizi kikal namna hiyo angalia usije ukaua mtu maana watu wenye vigugumizi kwa hasira hamjambo
 
hahahahahaha
hii kama vile ni jibu la ile thread nyingine tena
 
Kitu kimeiwaingia swaafi sana naona mmeshindwa kuvumilia tokweni povu ila ukweli ndio huo,kwanza na mlivyo wachache nguvu zenyewe za soda,nyie kwa nyie mnatamaniana,tutanunua dildo halaf na sie tutajimalizia shida zetu wenyewe alaaaaa
Haya maneno yako Kweli....!???
 
Hakuna mlevi anayeimba wimbo asioujua, mtoa mada yamemsibu pole
 
Wanawatisha wewe na nani? Jisemee nafsi yako wewe mtoa mada hakuna za uso wala nini maana hata wanawake wenzako wanakungaa kulikoni, umekurupushwa wapi.
 
Hahahahahah! Kidogo niripoti Takukuru kuhusu ufisadi wa kupandishwa cheo ghafla JF bila kufuata utaratibu. Anyway, just joking. Wish you nice charisma!
Hahaha loh roho mbaya,naonaga hvo vyeo bt sielewagi em nieleweshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…