Wanaume komeni kututisha

Haha 'tumetafunana' hii kauli ni sawa ila akili ya mwanamke wa kiafrika ni huwa nafanyiwa ndo maana kila siku humu vilio vya amechezea muda wangu, mara kanizalisha akaniacha.
 
Pole sana!, kumbuka una miaka mitano mbele ya "KUISOMA NAMBA!". Umeleta mineno mizito mizito ndio nini thatha? hata mie natumia kigezo hicho unachokikemea na huwa sikubali mwanamke kunipanda kichwani. Samahani ila nilikuwa nachangia mada tu!
 
Kitu kimeiwaingia swaafi sana naona mmeshindwa kuvumilia tokweni povu ila ukweli ndio huo,kwanza na mlivyo wachache nguvu zenyewe za soda,nyie kwa nyie mnatamaniana,tutanunua dildo halaf na sie tutajimalizia shida zetu wenyewe alaaaaa
 
Lady in reeed is dancing with meee
Daa kale kawimbo katamu saana
Btw kila mwanadam ana principals zake katika maisha.maisha ya uchumba yana changamoto nyingi saana kuwa mvumilivu kama ipo ipo tuu
 
Mleta mada una mihemko,umejiunga jf na kuanzisha thread? Acha papara
 
kimaumbile wanawake mnachoka mapema mara baadaya kuzaa watoto ndiyo maana tunasema mwanamke ni muhitaji wa ndoa maana umri ukizidi kwenda huku bado haujapata mume jua thamani yako inashuka pia maana watakuja wadogo zako wataolewa ww bado hupo hapohapo kwahiyo kuwa muangalifu na muda yani umri
 
Ndoa na iheshimiwe...! Kama hutaki ndoa wanaoitaka wajiachie...
 
ha ha haa aya bwana, but ukwel utabaki palepale mwanamke hawez shindana na mwanaume. Haya mashindano mnayoyaleta ndio maana ndoa zimekua chache now days
 
ha ha haa aya bwana, but ukwel utabaki palepale mwanamke hawez shindana na mwanaume. Haya mashindano mnayoyaleta ndio maana ndoa zimekua chache now days
Jiwe jeus una mambo. Sie hatutak mashndano and mie naamini ktk bible kwamba mwanaume n kichwa but nyie mwataka kujifanya wajanja zaidi.
Mkiambiwa ukweli mnapanic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…