Wanaume komeni kututisha

why uwe stressed na mahusiano wakati ni kitu cha kawaida tu ? tatizo watu mnapenda kuishi imaginary life matokeo yake maigizo kibao utavuruga na kuvurugwa tu.
ndoa ni uhusiano kama uhusiano mwingine ila una taratibu na miiko yake
 
Bora hata umesema. Kuna watu dunian wanajiona perfect na wengne wakosaji. Akina kaka, by ur information, hutapata mwanamke mkamilifu kila idara.
Mahusiano Ni uvumiliv, hara hvo, upendo hauhesabu mabaya.
Ndo manakee tusikubali watu jenge ki saikolojiaa kua sisi ndo wahitaji saaaaana was hizo ndoaa halfu sasa iki vunjikaa mwanamke ana laumiwaa

mwaka huu tuta wa nyooshaaa
 
na ukweli ni kwamba wanaume weng tunahitaji wanawake wa kuwaoa bt kibaya ni kwamba wanawake wa karne hyo ulioitaja mmeshazoea kushkwa shikwa vifua, so kwenu ndo ni nothing. polen
 
Wanaume tupo wachache tena tulio kamilika, inabidi muwe nanidhamu mtaolewa mkileta za kuleta mtatafunwa nakuachwa daily.
Hapo tu ndipo wanaume mwaniacha hoi,,, ukifanya mapenz na mwanamke ukabaki salama eti umemtafuna. Akikuachia uwaya unaanza kujiliza eti mwanamke yule mbaya. Jaman, know that uasherat na uzinzi c kwa mwanamke tu, Ni kwa wote.

Halafu, muwe mnasema " tumetafunana" sio umemtafuna!!!!!!!!
 
na ukweli ni kwamba wanaume weng tunahitaji wanawake wa kuwaoa bt kibaya ni kwamba wanawake wa karne hyo ulioitaja mmeshazoea kushkwa shikwa vifua, so kwenu ndo ni nothing. polen
Umeshika vifua vya wanawake wangapi had sasa kwa upande wako???
 
H
Yaaani you took words out of my mouth hvi hawajui kua na sisi raha tunasikia eenh
Utaskiaa nime mtafunaa yule demu ,chizi wewe mume tafunana na helaa ume MPA nani ka hasarika hapo?
 
Eve aliambiwa na Mungu bustanini " utazaa kwa uchungu na tamaa yako itakuwa kwa mume wako"
Only what women can do is just pretending, but they most need men than men do to women. Ndo maana mwanaume anaweza akaondoka hom akakaa mwaka bila mawasiliano na kujua yuko wapi lakn anaweza kurudi na akapokelewa na akaendelea na mke wake, sasa wewe wakike jaribu kuondoka wiki kwako bila taarifa uone!
 

H

Yaaani you took words out of my mouth hvi hawajui kua na sisi raha tunasikia eenh
Utaskiaa nime mtafunaa yule demu ,chizi wewe mume tafunana na helaa ume MPA nani ka hasarika hapo?
Hapo mmesema ukweli!
Ila ikifikia kwenye ndoa, wanawake ni wahitaji zaidi na hamtakubali maana u are always pretenders hata kutafunana kinachofanya muonekane mmetafunwa ni; kupretend unaumia wakat unaskia raha, kusema kwa mdomo kwamba hutaki kwenda chumban wakati unatembea mwenyw bila kuvutwa, kulala tu alf mwenzako ndo afanye kazi, kupretend orgasm wakati mwenzako kapata la ukweli ukweli n.k ."Women are pretenders in nature"
 
Hasira hasara.
 
Kuna kaukweli. Ingawaje inaonekana kama umevurugwa vile.
 
sizani kama idadi yake itahtajika sana kwenye akili yako na ikawa applied! sidhani!
U said, tatzo dadaz Wa miaka hi I wameshikwa shikwa sana vifua. Nilikuuliza idadi ili nijue wewe umeshashika vifua vya wake za watu wangap Wa badae and yet nyie mnataka ambao hawashikwi.... Uwiiiii. Kweli mkuki kwa nguruwe......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…