Wanaume kazi tunayo.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume kazi tunayo..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jamii01, Dec 10, 2011.

 1. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,836
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mwanamake anajua fika kabisa kuna family nyumbani mke na watoto..shida yake sasa amekwisha kutamani ulalale naye hata siku moja,sasa atakapoanza kukuonyesha mapozi mwanzoni..akitoka hapo atakawambia naombe twende dinner huku akijifanya rafiki wa karibu na mkeo au akijifanya hamjui kabisa mkeo..inshu pale utakapokuwa unashida na unajua ndiye atakayekusaidia ndipo anakutamkia wazi..tafadhari nipe nafasi katika moyo wako japo hata sehemu ndogo niwe na wewe kwa masaa machache..

  Wanaume hebu tuwe imara kwenye vishawishi kama hivi kuweka heshima kwenye ndoa zetu na si kila mwanamke unamvulia nguo..

  Ebu tubadilishe ule msemo usemao kuwa mwanaume akimtaka mwanamke ana uwezo wa kukataa lakini si mwanamke akimtaka mwanaume uwezo wa kukataa hana..
   
 2. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2011
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  mmmmmmmmhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!
  'Sisi wanaume bana' (source:aspirin n the gang)
   
Loading...