Sokoinejuniour
Member
- Aug 11, 2018
- 19
- 13
Wakuu naomba kuuliza kwa nia njema tu, Kwanini wanaume walio kauzu sana kwa wanaume wenzao, ni mabwege, dhaifu, maboya sana kwa wanawake?
Umeongea point kubwa sana hapa japo sijaelewa kitu.Sababu elasticity of unique ceteris peribus inakua kwny high zone ambapo kufanya imitation itakua labda kwa probability ya 80% success na makauzu mostly itakua granted kwa special offer na guarantee itakua kwa kitonga au kwa lieu.


