Eminem jr
JF-Expert Member
- May 21, 2018
- 2,006
- 4,617
WANAWAKE ni lazima muelewe kwamba ni vigumu
sana kuelewa saikologia ya mwanaume katika tendo
la ndoa.
Anaweza akajitolea kukusaidia lakini kumbe mwisho
wa siku anataka penzi lako..
Anaweza akakuambia anakumpenda kumbe mwisho
wa siku anataka tu kufanya mapenzi na wewe.
Anaweza akakuazima fedha lakini mwisho wa siku
ni kwa lengo la kukuvuta tu ili apate penzi lako..
Anaweza akakupatia kazi lakini mwisho wa siku
akahitaji penzi lako.
Anaweza akakufaulisha katika masomo yako lakini
mwisho wa siku akahitaji kulala na wewe..
Kitu cha kwanza kabisa ambacho leo nataka
nikufundishe ni kwamba unatakiwa kujua mfumo
mzima wa mwanaume katika saikolojia ya tendo la
ndoa, kitu hiki cha kuwa na uhitaji wa tendo la ndoa
na tamaa ya ngono cha kwanza ufahamu sisi
hatukuuomba tuwe nao na wala hatukuutengeneza
sisi.
Hivi unafahamu kwamba asilimia 95% ya wanaume
waliokamilika na wenye afya huamka asubuhi uume
umesimama?, je unafikiri hiki kitu ni sisi ndio
tulikiweka katika mwili...?
No!, hivi unafahamu
kwamba mfumo wa uume huwa unaufahamu wake
wenyewe?.. Unaweza ukawa unasoma biblia na
uume ukasimama, mwanaume anaweza akawa
amelala kabisa usingizi wa kukoroma lakini akianza
tu kushikwa shikwa sehemu ya uume na mwanamke
basi ni lazima uume usimame hata kama hajaamka
na bado anakoroma usingizini!
Hivi ilishawahi kujiuliza ni kwanini wanaume hawana
kitu kinachoitwa "Periods" au "Bad mood", hivi
ndivyo Mungu alivyotuumba, mwanaume yeye muda
wowote huwa yupo tayari kwa sex, umguse
kichwani mwake basi yeye atajua tayari wewe
unahitaji ngono, asione hata paja basi yeye tayari
ameshakuvutia picha kwamba upo uchi tayari na
ameshaona kila kitu.
Hata akiwa anapita barabarani mtikisiko tu wa
makalio ya mwanamke husababisha hata kuhama
njia na kupoteza network zote za kichwa kiasi
kwamba unaweza kusema ametupiwa majini, na
ndio maana kanisani au msikitini huwa hawaruhusu
kabisa wenye nguo fupi wakae bench la mbele
kabisa kwasababu wanafahamu kabisa mchungaji
anaweza akatoka katika uwepo wa ki-Mungu kisha
mfumo wa chini ukaanza kutawala, mfumo huu wa
hisia kwa mwanaume hauwezi kuondolewa kwa
kunena kwa lugha au kufunga kwa maombi mazito.
Sio kwamba ni sisi ndio tunaotengeneza mfumo wa
hisia hivyo..hapana, bali ndivyo tulivyoubwa.
Na hata Yesu mwenyewe alipouvaa mwili wa
kibinaadamu aliutambua kabisa mfumo wa
mwanaume katika hisia na ndio maana katika
kuchagua wanafunzi wake hakuweka wanafunzi wa
kike.
Ni Wanaume wengi sana wamedondoka katika
maisha kwasababu tu ya ngono, je unafikiri walitaka
kudondoka...?, Mwanajeshi unakuta yupo kabisa
katika uwanja wa wita lakini bado na tamaa ya
ngono anakuwa nayo na ndio maana wanajeshi
wengi sana waliuawa "Biafran war" na wanawake
kwasababu tu ya tamaa zao za ngono, Daudi
alimuweka Mpiganaji wake mbele ya uwanja wa vita
ili auawe ilimradi tu afanye mapenzi na mke wa
huyo mwanajeshi, je bado unataka nikuelezee pia na
habari za Samson, Suleiman na wengine katika
biblia?, inahitaji tu neema ya Mungu pamoja na
kujitambua ili uweze kushinda majaribu ya tamaa za
ngono.
Vile ambavyo miili yetu sisi wanaume huwa
ina-"react" katika mapenzi ni tofauti kabisa na nyinyi
wanawake, je umeshasikia wapi mwanamke
amechanganyikiwa au kapoteza mpaka uelekeo
kwasababu tu ya kuona uume..?, hakuna na hata
kama wapo basi ni wachache sana.
Kwahiyo Mwanamke ukiona mwanaume ana
'misbehaves' au kuwa msumbufu kukutongoza
usimuone ni kama mnyama au mtu aliechanganyiki
wa, hayo ni maumbile yetu ndivyo tulivyoumbwa 'we
are just responding to nature..!, kwahiyo usianze
kuropoka na kusema " nimekuvunjia heshima yote
niliyokupa, nilifikili kwamba unajielewa kumbe
hujielewi........n.k.....n.k....".
Kuwa mpole Dada, kuna wakati hata Baba zetu huwa
wanapoteza fedha zote walizokusanya kwa ajili ya
ada za wadogo zetu pindi wanapoona mabinti wa
miaka 19.