Wanaume katika saikologia ya ngono

Wanaume katika saikologia ya ngono

Nawaona wanawake wanavyotoa macho kwenye huu Uzi kwa makini kumuelewa mwanaume Alivyo.
Kiukweli Huwezi kumuelewa mwanaume anataka nini kirahisi au kwa kusoma tu kama hivi.

Mwanaume anaweza Akamucheat mke wake waliefunga nae ndoa ya Mamilion kwa House girl Anaemulipa elfu Alobain kwa mwezi. Hao ndo wanaume

Huwezi kukuta mwanaume kichaa wa kula na kulala jalalani kamuzalisha Mwanamke mwenye akili timamu, Ila vichaa wa kike waliozalishwa na wanaume wenye akili zao timamu wapo wakutosha. Na hao ndo wanaume.

Ushauri: Wanawake naomba msihangaishe akili yenu hata kidogo juu ya viumbe vinavyoitwa wanaume. Yani hata Mama yako Akiamua afanye mapenzi na mme wako au boyfriend wako Atapewa Uume bila wasiwasi kabisa.
REJ: UZI WA ULISHAWAHI KULA TUNDA KIMASIAHARA. Ili kujionea maajabu ya wanaume yalivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom