hahahahaaaa! unenena mkuu! anibebee maji kwani alinikuta sina mikono? anifulie kwani alikuta navaa nguo chafu? anipikie kwani alikuta nakula unga au mchele kama panya?
Alaaaaa!!
weeee!! nani anabeba? house girl sio? au unaishi dawasco, maji hayakatiki? huendi sokoni? hutoi vitu kwenye gari kama unalo? Mimba je? sio kitu kizito, au jamaa ndo anabeba
maji hayakatiki... tunaenda wote store.. he is the one who push the trolly.. sitoe kitu kwenye gari.. my husband is a gentleman he dont allow me to do that...
mimba ntabeba mie but thats something else... sio ndoo ya maji🙄
hahahahaaaa! unenena mkuu! anibebee maji kwani alinikuta sina mikono? anifulie kwani alikuta navaa nguo chafu? anipikie kwani alikuta nakula unga au mchele kama panya?
Alaaaaa!!
maji hayakatiki... tunaenda wote store.. he is the one who push the trolly.. sitoe kitu kwenye gari.. my husband is a gentleman he dont allow me to do that...
mimba ntabeba mie but thats something else... sio ndoo ya maji🙄
kwani akiwa kasoma darasa la saba ndio hayuko sawa na wewe or you should treat her like shit? then u expect to have a happy life 🙄 Thanks GOD i wasnt born in that time where I have to carry heavy things ... yani nyie mliwanyanyasa sana wanawake...
Mapenzi ya siku hizi yameshuka sana,si wanaume si wanawake hatuoi wala kuolewa bila kuweka vigezo kwa yule unayetaka kuwa naye.
Wanaume wa siku hizi utasikia mimi mchumba wangu au mke wangu lazima awe na kazi,elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea na vigezo vingien ,wengine wanaangalia hata uwezo wa wazazi wako.Jamni haya mambo yametokea wapi?Mbona hayakuwepo zamani na wazazi au babu zetu walifaidi maisha ya ndoa tena kuliko sasa kila kukicha watu wanalia ooh ndoa,imenichosha n.k
Zaidi ya hayo ndoa nyingi siku hizi zinavunjika uklinganisha na miaka ya zamani.
Hivi ninyi wanawake na wanaume mnaoweka vigezo je mnaoa ama kuolewa na vigezo au mtu? je vigezo hivi tunavyoweka vinongeza nini katika maisha ya ndoa?
na je vingekuwa na maana mbona ndoa za siku hizi nyingi zao hazina mvuto?kila siku kufumaniana,kama sio laivu basi kwenye simu n.k.
Jamani hebu tuache mapenzi yachukue mkondo wake,tusiilazimishe mioyo yetu ijifunze kupenda kwasababu tu ya kuangalia vigezo,tukumbuke mioyo huwa haijifunzi badala yake ina penda yenyewe kwa kuamua yenyewe.
haha acha hasira ...... first of all u sounds like you dont have respect for women.. mianamke? is that how u call women? there is better way to call us...huu ndio mfano wa mke wa ovyo kabisaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hata thinking capacity of such woman is objected.......................... kujifanya mjinga ndio kuwa gentleman.................hiyo store kaitamke vijijini kama wanaijua................... na mimba yamekushinda tu, vinginevyo ungetaka nayo abebe. hii inaonyesha jinsi gani mianamike ikipata midume ***** inavyoipeleka puta........................, halafu eti haki sawa................ aaangrrrrrrrrrr.....................
ngoja siku akitia akili kichwani......................................
u r soo funny u know that?ungepindwa tu................., sasa kinachokusukuma upindwe saa hizi ni nini???????????/ tatizo lenu mkishika vijisenti mnasahau wjibu wenu wa asili.................. hapo tu ndipo huwa tunagombana......................... unamshukuru Mungu kuzaliwa wakati huu........................ ulimwomba hayo???????????????///
haha acha hasira ...... first of all u sounds like you dont have respect for women.. mianamke? is that how u call women? there is better way to call us...
I dont understand what kind of man who let his wife to carry heavy stuff 🙄 mie kijijini nilishaondoka siku nyiiingi kwa hiyo hakuna noma kabisa...
kwani nikibeba hivyo vitu ndo ntakuwa mke wa maana? i will only lose my feminine look... I do other stuff that he love and which makes him appreciate me more 😉...
Acha wewe He can carry everything but Mimba ntabeba mie, see I am not asking for impossible...
u r soo funny u know that?
ebu niambie wajibu wetu wa asili ni upi exactly? halafu mie ntakwambia wajibu wangu ni nini... kwani nani mwenye nguvu mwanamke au mwanaume? u want me to carry ndoo ya maji alafu iwe vipi?.... yeye akae ananitizama?
u
waajibu wa mwanamke ni kumheshimu mwanume, kumnyeynyekea na ikibidi kumlilia, potelea mbali hata kama ni kilio cha kichina!
hahah naona hasira zimepungua.. ... hakuna manual kila mtu anajua wajibu wake...unajua sometimes nakuwaga na hasira sana na maneno yenu haya ya beijing................. umepata mwanume mpole sasa unachonga eti unaita mapenzi, unajua yeye kakubali tu iwe hivyo ili afikie malengo yake????????? ila namuonea huruma , unamtesa sana. nadhanai hata huku chumbani umetengeneza manual anayopaswa kuifuta kukamilifu ili afanikiwe kugida...............
waajibu wa mwanamke ni kumheshimu mwanume, kumnyeynyekea na ikibidi kumlilia, potelea mbali hata kama ni kilio cha kichina! ukishafanya hivyo, mengine yooooote yatajleta yenyewe, kwa kweli hata apetite ya yale mambo itakuja hadi utakimbia nyumba..............
mwanamme anataka kulishwa, kuvishwa na pia kutumikiwa kama mkewe ni mama wa nyumbani hana kazi vile!
kweli dunia ya mwisho hii, mwanamme ndo anapiganiwa na sio kinyume chake! agggr
maji nitamuwekea bafuni kwa mapenzi tu sio kuwa ni wajibu wangu............nafikiri nae hatojali maana alijua anaoa akina wale "wabishi"
Ndio yale yale , Mzee ana fariki watoto wana teseka sababu Mzee kaoa mke darasa la saba au asiye na kazi sababu ya mapenzi toka moyoni.
Dunia ya sasa ni muhimu kuangalia future ya fammilia, mambo ya kuoa demu asiye na mchago wowote zaidi ya kukupa undoa na kuku pikia vizuri yame pitwa na wakati, sasa himu umuhimu ni jinzi ya kuendesha fammilia na mna ya kuhakikisha mchango wa kiuchumi unaletwa na wote baba na mama, ili mmoja akipotea mwingine ana weza kuendeleza hali nzuri ya maisha na fammilia haita tetereka , haya yatapatikanaje kamaunaokota kitu eti umekipenda na ni just mama wa nyumbani ?
hahah naona hasira zimepungua.. ... hakuna manual kila mtu anajua wajibu wake...
whoooa!!! I do respect him a lot... na kumlilia sometimes I do... lakini kumnyenyekea sounds like extreme to me why should I?
haya sasa ndo hayo mambo nayakataa i dont want that kind of appetite...🙄 unadhani akianza kuninyanyasa ntapata hiyo appetite,,, there were things start to blaze...
pole pole Akili unaanza kunipotoza ... kumnyenyekea kwenye romance is not an issue... u r teaching me romance now? i am very fine in that department... as long as i dont carry ndoo za maji, shopping bags etc etc ...😀unajua kuna wakati tunaelekea kuelewana halafu unaruka tena futi mia juu!!!!!!!!!!!!!!
sikiliza babe, kunyenyekea ni lazima na ni sehemu ya maromanzi............. umenipata fresh hapo eee....................
halafu mzee akiwa na ppetite safi, yako itakija tu, si unamringia kidogo, unageukageukaa hivi ..enagunaguna..... unasusasusa.......... handi anaanza kukubembeleza, halafu utashangaa chemchem hko down inavyogeuka kuwa active!!!!!!!!!!!! mnajua mnatoka kwenye mkondo wa romance za asili mnaingia kwnye artifisho sana. mzee wala hahitaji mambo ya koni wala nini kama unajua hiyo kitu ya kunyenyekea, bomba halikauki maji ng'o!!!!!!!!.............
kuna kamsemo siku hizi (hasa kwa wakaka) kuwa kwa vile mtu huwezi kujichagulia wazazi so kuzaliwa na wazazi wasio na kipato sio kosa lako, ila kuwa na wakwe wasio na kipato ni chaguo lako.
pole pole Akili unaanza kunipotoza ... kumnyenyekea kwenye romance is not an issue... u r teaching me romance now? i am very fine in that department... as long as i dont carry ndoo za maji, shopping bags etc etc ...😀
Sidhani kama usawa wanaoulilia wanawake ni huu.
Gender Sensitive,
Unaposema vigezo unamaana gani? Siamini kama mtu anaweza kuoa/olewa pasipo vigezo! Hata zamani vigezo vilikuwapo, tena vingine vya kumkandamiza mwanamke! Imagine siku ya 'harusi' inafanywa test (shuka nyeupe?) kuestablish kama mwari alitunza bikra yake!
Jaribu kutizama upya ufahamu wako wa historia ya mambo haya. Naona kama kuna kitu unakimiss au umesahau. Zamani kulikuwa na mahari kubwa (ng'ombe nk) tu amabayo ilikuwa inatolewa na wazazi wa mwanaume kwenda kwa mwanamke. Vilevile mwanaume alikuwa anachagua ukoo wa kuoa (kwa mfano kama wana historia ya magonjwa sugu au uchawi) watu wanakwepa kuoa kwenye koo za namna hiyo. Sehemu nyingine mwanamke 'mvivu' ilikuwa shida kupata mume!
Ni kweli hapa kuna shida lakini sidhani kama inaletwa na vigezo.
Unaoa/olewa na mtu. Lakini mtu huyu si lazima awe na attributes fulani. Kama ingekuwa tunaoa bila vigezo, mbona hilo zoezio lingekuwa rahisi sana (you just pick mtu yeyote hata kama umefumba macho!).
Hii haitokani na vigezo.
Kimsingi, ni vigezo ulivyoweka (consciously or subconsciously) ndio vinadetermine mtizamo wako juu ya mtu fulani na kuamua 'kumpa' penzi lako.