Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
umenena mkuu .......................
siku hizi kuna "deals" hakuna mapenzi. unakuta mtu anajiuliza kama hakuna mapenzi, kwa nini uoe mtu mzigo, akutegemee kwa kila kitu na atake uwatunze na wazazi wake na mahari ulishatoa, usomeshe ndugu zake etc. ndo maana wanaume wa siku hizoi wanasisitiza mke aliyeenda shule japo kidogo na mwenye kazi ili asimlemee sana kwani suala la mapenzi linaelekea kusahaulika........................
hebu fikiria uoe mke darasa la saba, alikuwa akikuamkia shikamoo kabla, ulipomuoa anajiona sawa na wewe, anataka nawe umpelekee maji bafuni, ukibisha jamii nakuona umepitwa na wakati!!!!! sasa si bora uchukue libishi na huku ukijua ni libishi na wala hujihangaishi kuliomba likuwekee maji bafuni, unabeba mwenyewe mpaka Mungu akujaalie kujenga nyumba yenye shower ndani, hata ukichekwa, umesevu mizigo, hata mkiachana likadai mali pari-pasu na lenyewe lilichangia......................
Do you think kwa hali hii utafaidi mapenzi ya kutoka moyoni?
ndio yale yale , mzee ana fariki watoto wana teseka sababu mzee kaoa mke darasa la saba au asiye na kazi sababu ya mapenzi toka moyoni.
Dunia ya sasa ni muhimu kuangalia future ya fammilia, mambo ya kuoa demu asiye na mchago wowote zaidi ya kukupa undoa na kuku pikia vizuri yame pitwa na wakati, sasa himu umuhimu ni jinzi ya kuendesha fammilia na mna ya kuhakikisha mchango wa kiuchumi unaletwa na wote baba na mama, ili mmoja akipotea mwingine ana weza kuendeleza hali nzuri ya maisha na fammilia haita tetereka , haya yatapatikanaje kamaunaokota kitu eti umekipenda na ni just mama wa nyumbani ?
Ndio yale yale , Mzee ana fariki watoto wana teseka sababu Mzee kaoa mke darasa la saba au asiye na kazi sababu ya mapenzi toka moyoni.
Dunia ya sasa ni muhimu kuangalia future ya fammilia, mambo ya kuoa demu asiye na mchago wowote zaidi ya kukupa undoa na kuku pikia vizuri yame pitwa na wakati, sasa himu umuhimu ni jinzi ya kuendesha fammilia na mna ya kuhakikisha mchango wa kiuchumi unaletwa na wote baba na mama, ili mmoja akipotea mwingine ana weza kuendeleza hali nzuri ya maisha na fammilia haita tetereka , haya yatapatikanaje kamaunaokota kitu eti umekipenda na ni just mama wa nyumbani ?
Wanawake wanalilia usawa sana, wakipewa usawa wenyewe huu wanalalamika.
kwani akiwa kasoma darasa la saba ndio hayuko sawa na wewe or you should treat her like shit? then u expect to have a happy life 🙄 Thanks GOD i wasnt born in that time where I have to carry heavy things ... yani nyie mliwanyanyasa sana wanawake...umenena mkuu .......................
siku hizi kuna "deals" hakuna mapenzi. unakuta mtu anajiuliza kama hakuna mapenzi, kwa nini uoe mtu mzigo, akutegemee kwa kila kitu na atake uwatunze na wazazi wake na mahari ulishatoa, usomeshe ndugu zake etc. ndo maana wanaume wa siku hizoi wanasisitiza mke aliyeenda shule japo kidogo na mwenye kazi ili asimlemee sana kwani suala la mapenzi linaelekea kusahaulika........................
hebu fikiria uoe mke darasa la saba, alikuwa akikuamkia shikamoo kabla, ulipomuoa anajiona sawa na wewe, anataka nawe umpelekee maji bafuni, ukibisha jamii nakuona umepitwa na wakati!!!!! sasa si bora uchukue libishi na huku ukijua ni libishi na wala hujihangaishi kuliomba likuwekee maji bafuni, unabeba mwenyewe mpaka Mungu akujaalie kujenga nyumba yenye shower ndani, hata ukichekwa, umesevu mizigo, hata mkiachana likadai mali pari-pasu na lenyewe lilichangia......................
hahahahaaaa! unenena mkuu! anibebee maji kwani alinikuta sina mikono? anifulie kwani alikuta navaa nguo chafu? anipikie kwani alikuta nakula unga au mchele kama panya?umenena mkuu .......................
sasa si bora uchukue libishi na huku ukijua ni libishi na wala hujihangaishi kuliomba likuwekee maji bafuni, unabeba mwenyewe mpaka Mungu akujaalie kujenga nyumba yenye shower ndani, hata ukichekwa, umesevu mizigo, hata mkiachana likadai mali pari-pasu na lenyewe lilichangia......................
kwani akiwa kasoma darasa la saba ndio hayuko sawa na wewe or you should treat her like shit? then u expect to have a happy life 🙄 Thanks GOD i wasnt born in that time where I have to carry heavy things ... yani nyie mliwanyanyasa sana wanawake...
hahahahaaaa! unenena mkuu! anibebee maji kwani alinikuta sina mikono? anifulie kwani alikuta navaa nguo chafu? anipikie kwani alikuta nakula unga au mchele kama panya?
Alaaaaa!!
Umekosea kidogo, uliza utafanya?Unayafanya haya ua unajishaua tu?
maji hayakatiki... tunaenda wote store.. he is the one who push the trolly.. sitoe kitu kwenye gari.. my husband is a gentleman he dont allow me to do that...weeee!! nani anabeba? house girl sio? au unaishi dawasco, maji hayakatiki? huendi sokoni? hutoi vitu kwenye gari kama unalo? Mimba je? sio kitu kizito, au jamaa ndo anabeba
Umekosea kidogo, uliza utafanya?
Nitafanya, tena the lions share.Ok,je utayafanya hayo uliyoyasema Mkuu?