Wanaume kama hawa

Nyie wanawake mna nini? Kilio chenu ni hicho hicho kila siku! Kwan mliletwa ili tuwalee kama watoto! Pambaneni na hali zenu achananen na dhana tegemezi. Mtaendelea kupigwa kuni kibingo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…