Wanaume kama hawa

Yaani mimi nihangaike kutafuta pesa, nikupe tena unaniringishia! Kaa nacho tu kwakweli siku ukinipa nitakupa! Hakuna kuhonga siku hizi! Kazi kwa malipo nipe nikupe
 
Kwani hicho unachonipa kinanisaidia kutafuta pesa?
 
Mwanaume hufanya mapenzi kwa ajili ya leasure na sio love lakini mwanamke hupenda sex for love not leasure iko ivyo psychological usiniulize kwanini.
Nb. Madada poa hawapendi wanachokifanya but ni Shida za kimaisha.kwa kina zaidi Fanya research ndogo utapata jawabu.
 
Reserch yako ilihusisha madada poa wangapi?
 
kutwa unaomba pesa ya saloon na ped unashindwa kuomba pesa ya mtaji... nikupe pesa za saloon upendeze then hakuna unachoingiza chenye faida kazi ni kutupia vipicha insta, tsap na snap......
Ok bodi ya mikopo imefungua dirisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…