Wanaume kama hawa

Tafuta mwema miongoni mwao akuweke ndani fedha,zawadi,hazina maana yoyote kwako jiulize mpaka sasa umepewa vingapi,umefanya jambo gani la maana.

Jaribu kujiepisha na hali hii vinginevyo itafika wakati utaona watu wabaya hususani pale mahitaji yako yasipotekelezwa, lakini pia unajivunjia heshima na kukosa thamani sababu ili upate msaada lazima utumikishwe ngono,
 
Umeongea vizuri...lakini hata mkeo lazima uwajibike kumletea vizawadi
 
Tapeli wa pesa tu wewe huna lolote... Unapokaa mwezi nila kutafunana kwa sababu zako za uongo, unataka mwenzio akuelewe wewe, wewe usimuelewe yeye... Invoice unazituma tu... Akikupa nae atakua bwege tu... Unataka kuniambia huo mwezi wewe unamkazia mwenzio hakuna unakogegedwa..?.
 
Umenionea
 
Wewe jamaa nakutunuku degree ya haya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…