Wanaume kama hawa

Wanaume kama hawa

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,586
Reaction score
8,386
Kuna wanaume wengine,wana tabia mbaya sana,sio nzuri

Unakuwa nae kwenye mahusiano vizuri tu lakini umuombapo kitu labda hela kwa ajili ya matumizi,....hawezi kukupa hela inayoeleweka....,au hawezi kukuletea zawadi

Hasa kama mna mwezi hamjafanya mapenzi

Mwanaume eti anakupa hela inayoeleweka baada ya kumaliza kufanya mapenzi,au atakuletea zawadi muda huo anataka mfanye mapenzi
Ukipokea zawadi na bila kufanya...anakuwa hayupo happy

Wanaume hivi ukimaliza kufanya mapenzi....ndo unajua umuhimu wa mpenzi wako?

Kwa nini usimuhudumie mpenzi wako kwa asilimia mia hata kama hamjafanya mapenzi ndani ya mwezi mmoja?
 
Kwani lazima kupeana pesa, upendo kwanza, pesa baadas,

Kwani na wewe unampaga pesa ?

Alafu huu mchezo wakina dada acheni bwana, yaani mnataka vyote mpewe, kukunwa mkunwe pesa pia mpewe jamani, aaaghh
 
mleta uzi acha ujinga wako,watu tushavurugwa unakuja na nyuzi yako ya njaa hapa,ule pesa kwa kazi gani uliyofanya,na wewe kwanini usitoe kitoweo kabla haujapewa pesa kama sio mdangaji?
Loh,ni shida...au ni miongoni
 
Kwani lazima kupeana pesa, upendo kwanza, pesa baadas,

Kwani na wewe unampaga pesa ?

Alafu huu mchezo wakina dada acheni bwana, yaani mnataka vyote mpewe, kukunwa mkunwe pesa pia mpewe jamani, aaaghh
Wewe umenipenda lazima unitunze,mke ni ua... Lazima lipaliliwe
 
Kwa nini unakataa?

Hivi mimi niwe mji mmoja na wewe, tunaitana wapenzi, unipe mwezi kwa mwezi kama mshahara!

Na mimi itabidi nikupe siku ya mshahara, natafuta pa kufidia hizo siku zingine.
Sio kwamba,ni makusudi,labda upo unaumwa au hujisikii vizuri..kwa nini mwanaume hayupo happy na Wewe,anakuwa happy mkisha maliza kufanya
 
Back
Top Bottom