Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,031
- 4,236
Asalam alaykum warhmatullah wabarakatuh, Bwana yesu asifiwe, Tumsifu yesu Kristo, Mapendo!
Wanaume linapokuja suala la kuvunja mahusiano kama bado game haujaijua lazima ikutese tofauti kabisa na mwanamke.
For ladies huwa always wapo targeted meaning that una date nae ila kuna msululu wa watu wamtongoza especially kama ni mzuri.
So the moment unaachana nae anachagua sub moja anaishi nayo chap, tena kama hana akili ndio anadate na mtu akukomoe.
For men kama haukuwa na option inaweza kukutesa sana sana maana unakuwa unamiss mambo mengi pengine ulikuwa umemzoea demu wako na ma charity (hongo) unayokuwa umemfanyia.
Kama unaona mama inazingua au imeanza mabadiliko simply fanya mambo kadhaa.
I. Unsave namba yaani isiwe na jina lolote, usiview hata statuses zake, chats ziache ili hata akikucheki usisumbuke kujua ni nani. (Kufuta huwa sio option yangu). Futa hata picha zitakazokupa emotions.
II. Usiwe unatuma long text kujieleza sana take easy Improve yourself kabla ya kutafuta mama nyingine.
III. Avoid kumcheki kabisa yaani hata akikucheki iwe yeye sio wewe umcheki halafu convo iwe fupi usijieleze hovyo
IV. Kama mnasoma pamoja vibe kama kawaida yaani asione upo kinyonge atakama unaumia.
V. Get money.
VI. Soma vizuri namba moja.
Bonus:
Usikariri namba ya mpenzi wako hata kama unampenda kiasi gani.
Tunakariri namba ya mke sio mpenzi wa kawaida, ukiikariri inakuwa ngumu kumuacha, trust me lazima ipo siku utamtafuta tu!