Wanaume jifunzenii Usafii

Wanaume jifunzenii Usafii

Maranyingi mmekuwa mkiwashutumu wanawake kuwa ni wachafuu lakini kuna wanaume ni wachafu sijapata kuona mwingine unakutana nae barabarani tuu harufu anayotoa utafikiri beberuu la mbuzii
Wengine ndiyo mkiwa mnataka kufanya yale mambo yetu akivua surualiiii lol harufu inayotoka haielezeki boxer unakuta huelewi n rangi ganiii kwa uchafu halafu huo mdomo akiongeaaaa ptuuuuuhhh
Halafu huwa mnajisifia eti mwanaume hapaswi kuwa msafi kama mwanamke
Mnajidanganyaa badilikeni sio kila lawama ni kwa mwanamke kuna wanaume mmezidisha uchafuuuuu
Afuu mnajitapa ooh kuna wanawake kitandani n mizigo,

Nakupaje ushirikiano kwa hali hyooo??????
Kwani bado unatembea na makuli au wabeba mkaa? Inahuzunisha sana.
 
Maranyingi mmekuwa mkiwashutumu wanawake kuwa ni wachafuu lakini kuna wanaume ni wachafu sijapata kuona mwingine unakutana nae barabarani tuu harufu anayotoa utafikiri beberuu la mbuzii
Wengine ndiyo mkiwa mnataka kufanya yale mambo yetu akivua surualiiii lol harufu inayotoka haielezeki boxer unakuta huelewi n rangi ganiii kwa uchafu halafu huo mdomo akiongeaaaa ptuuuuuhhh
Halafu huwa mnajisifia eti mwanaume hapaswi kuwa msafi kama mwanamke
Mnajidanganyaa badilikeni sio kila lawama ni kwa mwanamke kuna wanaume mmezidisha uchafuuuuu
Afuu mnajitapa ooh kuna wanawake kitandani n mizigo,

Nakupaje ushirikiano kwa hali hyooo??????
Pore kwa yariyokukuta mapredeshee tupo unavamia walugaluga
 
Ndio ni kweli wapo ambao ni wachafu by nature na wengine ni wazembe tu. So it depends on personality
 
Mbona mm maafi hadi wanawake wakija geto wanachanganyikiwa
 
Back
Top Bottom