Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,085
- 93,038
In her "cheek".Bila shaka wahusika wataelewa n kujirekebisha.
In her "cheek".Bila shaka wahusika wataelewa n kujirekebisha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] inaitwaje kwani?Etiii nyapuuuu[emoji28][emoji28][emoji28]
Haaa unamaanisha nini kuwa naye ni mchafu au?Wanasema ndege wafananao huruka pamoja
Acha hizo yaani hujui kiungo chako kinaitwaje[emoji3][emoji3]Mimi sijuiiii
Ww ni jinsia gani[emoji15] [emoji15]Maranyingi mmekuwa mkiwashutumu wanawake kuwa ni wachafuu lakini kuna wanaume ni wachafu sijapata kuona mwingine unakutana nae barabarani tuu harufu anayotoa utafikiri beberuu la mbuzii [emoji40][emoji40]
Wengine ndiyo mkiwa mnataka kufanya yale mambo yetu akivua surualiiii lol harufu inayotoka haielezeki boxer unakuta huelewi n rangi ganiii kwa uchafu[emoji27][emoji27] halafu huo mdomo akiongeaaaa ptuuuuuhhh
Halafu huwa mnajisifia eti mwanaume hapaswi kuwa msafi kama mwanamke
Mnajidanganyaa badilikeni sio kila lawama ni kwa mwanamke kuna wanaume mmezidisha uchafuuuuu
Afuu mnajitapa ooh kuna wanawake kitandani n mizigo,
Nakupaje ushirikiano kwa hali hyooo??????
Mmmh we ni ke au me?Dusheee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ina majina mengi sana nafikiri ni kutokana na utamu wakePapuchiiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] mimi sio mjinga[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wewe mjingaaa