Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
Nimekosa nn sasa?Maneno ya mkosajiii
Nimekosa nn sasa?Maneno ya mkosajiii
Na wewe uache kuokota wanaume wa ovyo wa mikoani ,tafuta born daisalamaMaranyingi mmekuwa mkiwashutumu wanawake kuwa ni wachafuu lakini kuna wanaume ni wachafu sijapata kuona mwingine unakutana nae barabarani tuu harufu anayotoa utafikiri beberuu la mbuzii [emoji40][emoji40]
Wengine ndiyo mkiwa mnataka kufanya yale mambo yetu akivua surualiiii lol harufu inayotoka haielezeki boxer unakuta huelewi n rangi ganiii kwa uchafu[emoji27][emoji27] halafu huo mdomo akiongeaaaa ptuuuuuhhh
Halafu huwa mnajisifia eti mwanaume hapaswi kuwa msafi kama mwanamke
Mnajidanganyaa badilikeni sio kila lawama ni kwa mwanamke kuna wanaume mmezidisha uchafuuuuu
Afuu mnajitapa ooh kuna wanawake kitandani n mizigo,
Nakupaje ushirikiano kwa hali hyooo??????
Jiweke swafi naww utapata wsafiKakojoe ukalaleee
Kanda ya ziwaKisia watakuwaaa Wa mkoa ganiii[emoji28][emoji28][emoji28]
Umekutana na huyo mmoja basi unasema ni woteUkweliiii unaumaaa
Haya bwana ngoja kwanza nifanye mazoezi ya kiuno maana siku hzi mnataka na sisi tukate viunoMbna nanyinyi huwaaa mnasemaaa wtee afu samaki mmoja akiozaaaa????
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] najifunza mwenyeweHahahaaahahaaaaa mfate bob junior
Akusaidie
Chinja hilo beberu unywe supuPambana na hali yakooo
Dar joto sana ungemwambia aoge ndo umpe nyapuN wa dar [emoji28][emoji28][emoji28]