Wanaume jifunzenii Usafii

Wanaume jifunzenii Usafii

kipusaah

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2017
Posts
252
Reaction score
243
Maranyingi mmekuwa mkiwashutumu wanawake kuwa ni wachafuu lakini kuna wanaume ni wachafu sijapata kuona mwingine unakutana nae barabarani tuu harufu anayotoa utafikiri beberuu la mbuzii
Wengine ndiyo mkiwa mnataka kufanya yale mambo yetu akivua surualiiii lol harufu inayotoka haielezeki boxer unakuta huelewi n rangi ganiii kwa uchafu halafu huo mdomo akiongeaaaa ptuuuuuhhh
Halafu huwa mnajisifia eti mwanaume hapaswi kuwa msafi kama mwanamke
Mnajidanganyaa badilikeni sio kila lawama ni kwa mwanamke kuna wanaume mmezidisha uchafuuuuu
Afuu mnajitapa ooh kuna wanawake kitandani n mizigo,

Nakupaje ushirikiano kwa hali hyooo??????
 
Aisee! Kwa malalamiko haya sijui ulikumbana na wale wabeba taka!?
Kwani wale wa taka ndyo wachafu anaweza akawa wataka na akawa msafiii kumzidi hata wa ofcn mtu mchafu n mchafuuu tuu hategemei mazngiraa
 
Hofu yangu ni kwamba. Hao ndio wanaongoza kwa kuwagegeda. Mkisema wanaume wasafi hawana hela za kuwahonga. Vp tena mbona unalalama wakati ndo mmeamua kuchagua hao?
 
Back
Top Bottom