1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 10,201
- 14,379
Mkuu hahaha, rudisha town! Utapotea oooooho,Nimepeleka Hiace kijijini ikafanye biashara lkn mimi mwenyewe naumwa wiki ya tatu hii ugonjwa hauonekani
Unatokea wapi?
Mkuu hahaha, rudisha town! Utapotea oooooho,Nimepeleka Hiace kijijini ikafanye biashara lkn mimi mwenyewe naumwa wiki ya tatu hii ugonjwa hauonekani
ulienda kwa mikogo nn?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mkuu umeshaelewa najua. Wanakijiji wamekaa kama kamati wamefanya yao
Kwa nini urudishwe kijijini? Kwenda kufanya nini wakati una nyumba mjini?Siku ukipatwa na shida na ukalazimika kurudishwa kijijini kwenu itakuwa aibu yako na ya familia yako IF kwa wazazi wako kutakuwa hakueleweki...