mnawasingizia sometimes wanaume jamani....kwa kawaida mwanamme akipenda yupo kwenye 100% wakati demu anayemfukuzia yupo 0% sasa atafanya nini na ye kesha penda inabidi awe jitu kupe ili apate anachokitaka hata kama ukiwa mke wa mtu unahiari ya kumkataa lakini sio king'ang'anizi kwani amekulazimisha? unamwambia leo unamtu kesho unamwambia ntakufikiria mtondogoo ameshakuwa service provider wako na mwisho mahaba mazito af me anakuwa 0% ke yupo 100% hapo sasaaaaa......
haya mama nimekusikia. afu mum mbna hujanletea dhawadi ya b-day au ushathahau ulinizaa lini?
ummy umenena vema! Za siku?
nzuri wng nipo powa nashushia halua halua wazijua weye?
Hivi zipo aina ngapi ?
nzuri wng nipo powa nashushia halua halua wazijua weye?
zipo za aina nyingi na ladha tofauti tofauti inatgemea mlaji anata ladha ipi cholate,milk,cream,nk ila ww nakuchangulia milk ni tamu hiyo
Hivi hujui sababu inayowafanya wawe kamgandeni ? Husababishwa na wanawake wenyewe!
Pale mnapowaacha kutoa dushe nje wakisha'score! Mnawasikilizisha maaendiketa! Hayo maaendikita ndo huleta shida mnapowamwaga!
mtakua na pepo nyie, ndo mtugande hivyo
Wala sikatai kwa ukisemacho!
Btw na wewe ukubali kua nyie ndiyo mnaotuPEPOSHA! Na miufundi yenu mnayotupagawisha!
Mf. Niusemee wangu mwenyewe, umeshawahi kumsikia Mususu anaitwa BeibeNasty !
Usipime mie fully kupagawa! KeshaniPeposha! Kosa langu mi nini?
sina ata shida ya kumjua maana na uhakika ata nusu kwangu haingii, sa kama huyo kakupepusha mi ndo sijui ntakuua kabisa..
Wewe Bantu Miss i salute you!
Coz umefanikiwa kumchekesha Mfalme asiyecheka throughout a year!
Always mi hucheka January hadi January! Unajua kipikinichekeshacho ?
Yaani BeibeNasty wangu kwenye fani lazima akugaragaze!
Ana mavitu adimu mchezo tupa kulee!
Tema mate dirishani "puuu" dirisha lipo umbali meter 3 , mimate inadondokea hata nusu meter hayafiki !
Unaijua hii makitu?
Usijali mwanangu, zawadi inakuja soon!! Your dad watu8 alikwenda kuituma kwa bus utaichukua kesho pale unapoenda kupokea vifurushi toka kwa mama
hahaha nimeona hiyo King'asti ni sooooooo, hubby wangu aliniambia kabisa, yaani huyo dada kamganda mpaka anataka kuja kuniomba nimuachie jumla, ushawahi kuona wapi hayo! yaani huwa tunajua kujidhalilisha, limwanamke halafu limeolewa, linamng'ang'ania mtuuuuuu! we dada nakutema puuuuuuuuuu!Hahaha! Weeh, wanaume wana nafuu! Ulishawahi kuona mwanamke akimganda mwanaume? Hata kama ni mwanaume wako ndo anagandwa, utajikuta unamuonea huruma!
By the way, a little bit of stalking won't kill u, enjoy the ride hehehe!
Au sioHivi kwanini mnakua hamuelewi pale mwanamke anapokwambia tiari anampenzi wake, jamani mnakela yani mtu anang'ang'ania tafikiri aliambiwa nimezaliwa kwa ajili yake.!!!