Waoooh.... Babu loves you too darling.... Usiogope mvi hizi, ngombe hazeeki maini.... hebu come this way tudansi kidogo basi.Babu na hakika hukunikosea lolote bali ni hizo mvi pamoja na wrinkles zinakufanya
ume mkali saa zingine.. ila jua wajuu wakubwa tuko hapa kwa lolote lile utakalo 🙂 We love you always.
jifunze ufasaha wa lughainakela
Waoooh.... Babu loves you too darling.... Usiogope mvi hizi, ngombe hazeeki maini.... hebu come this way tudansi kidogo basi.
Am here..... waiting!!huyo bi dada ana G-string nzuri kweli .. ila hilo jash sasa duuhh..
Babu ngoja mi nikakuletee ugoro.." will be back soon"
Hahaha! Weeh, wanaume wana nafuu! Ulishawahi kuona mwanamke akimganda mwanaume? Hata kama ni mwanaume wako ndo anagandwa, utajikuta unamuonea huruma!
By the way, a little bit of stalking won't kill u, enjoy the ride hehehe!
Sasa si tungemalizana tu kwa PM,asa ndó umefanya nini kumwaga kuku kwenye mpunga wengi! sio kung'ang'aniwa, NI MPENZI!
mpe za uso kama haelewi somo. dah wanakera niaje! hebu acha kumuintertain. usipokee cm zake, usijibu sms kama vp mblock no.zake. atachoka mwenyewe
Dawa yako wewe ni kukuloga tu basi....
Taratibu mwanangu....!
Heh toa ushauri taratibu basi mkuu. Lol
Hahahahahahahahahahahaha
nini tena rutta.??
yan umenikumbusha kitu.
kitu gani hicho tena!?? au na we ndo wale wa kuganda watu..
kuna mdada nilimfatilia sana akaniuliza hivi "hivi mimi nime zaliwa na wewe?" ni kamwambie ani onee huruma nampenda sana akasema nikiweza ninywe sumu nife ,lakini huwezi amini baadaye alikubali na ananipenda kwakweli! kwa hiyo nikajua alikua ana nipima kama nampenda na wasichana wengi wenye
msimamo bila kuwa king'ang'a nizi huwezi kumpata. Kwa hiyo hii topic imenifanya nicheke hadi watu wamenishangaa!