Wanaume jamani tujihadari..

Wanaume jamani tujihadari..

nuporo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2018
Posts
1,534
Reaction score
3,403
wanaume jamani tujihadhari..

hii tabia ya chovya chovya huyu na yule tuweni makini..
Kuna tukio moja limemtokea rafiki angu yeye alikua anatabia za kutafuna mabinti wa watu tena wengi wao anatumia uongoya kwamba atawaoa..
Sasa bhana miezi minne iliyopita alikwenda kijijini alipopangiwa kufanya mazoezi ya muda ya kuongeza uzoefu wa kazi yake..
Akakutana na binti wa watu mrembo akamtamani akaamua aseme yaliyo moyoni huku akiapa mbele ya binti yule kuwa ni yeye pekee mwenye nafasi..
Akataka apewe binti akakataa akamshawishi kwa kumuahidi atamuoa.. Binti akakubali wakacheza mchezo ule siku zilipoisha za mafunzo ya mda akarudi mjini
Kashazoea mabinti ni wale wale wa kama wa siku zote..
Kumbe binti yule alishatengenezwa kwao mwanaume atakaye lala nae.. Uume wake utakua unafanya kazi tu akiwa nae katika tendo na sio na mwanamke mwingine..

Jamaa aliporudi akaanza kufanya mchezo wake lakini kila alipokua anataka kufanya tendo uume wake unakua umesinyaa hauna nguvu kajarbu zaidi ya wanawake watano lakini hali ni hiyo..
Kala karanga sana katafuna tangawizi mambo ni yale yale..
Akafanya maamuzi magumu ya kwenda kwa mganga wa kienyeji wajue tatizo nini..
Mganga akamwambia ulilala na msichana alietengenezewa dawa sasa inakubidi uende kwao utafute njia ya kulimaliza tatizo hili.. Ufanye haraka kabla hajafa akifa maisha yako yote hautakua na uwezo wa kufanta tendo..

ikumbukwe kuwa jamaa huyu alikua hana mpango naye wa kumuoa binti yule..

Muda huu yule anatafakari jinsi gani akienda huko atumie njia gani amuelewe..


USHAURI; Tafuta mmoja dumu naye.. 😁😁
 
Ifikie hatua tuanze kuwauliza na maswali
Vipi huko ni salama kabisa hakuna madhara yeyote!? 😂
...hakuna adhabu kali kwa mwanaume kama kumpunguzia cheo yaani atoke 4G hadi E.. 😁
 
Back
Top Bottom