wanaume jaman tuoneeni bas huruma kidogo ......

bahaticaro

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
100
Reaction score
31
:A S cry::A S cry: Jamn my friend kaolewa hat miezi miwili haijapita ni mjamzito ana mimba ya miezi sita jana mume wake kakamatwa anafanya ngono na na mwanamke mwingn kweny gar gari yenyew ya huyo dada jaman akijua si mimba inaweza kutoka ...alafu et bila aibu ananipigia simu nikamtolee kit gan sijui police atolewe siendi ng,o yaan hay mambo ukiwa ndani ya ndoa huwez jua mwenz wako anafany vituko gani wa pemben ndy wanajua.....:A S cry::A S cry::A S cry:
 
sasa wewe unamsaidiaje huyo rafiki yako.kukaa kimya bila kusema ukwel ndo suluhisho??kama mumewe yupo polic si lazima ataujua ukwel na kama akiambiwa yupo huko kwa kosa hilo na wewe kama rafiki yake unajua catakuona kama mnafik???tafuta suluhisho la kumwambia mwezako..
 
Dah mbona post yako haina introduction main body wala conclusion?!!
 
farkhina@ kafunga ndoa akiwa mjamzito tayr
 
farkhina@ kafunga ndoa akiwa mjamzito tayr

Owh..yawezekana huyu mkaka hampendi bi dada huo ujauzito ndio sababu ilimfanya kumuoa....

Mpe pole sana...mungu atamjaalia atajifungua salama hilo ndio la kumuombea...

Huyo kurumbembe mwache ahangaike na ulimwengu.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
All successful marriages are based on some necessary hypocrisies. - Philip Kerr (The One From Another)
 
Je anapendeza kama alivyokuwa akimtokea?
 
Mtolee kwanza hiyo Dhamana, atoke kwanza ndo mambo mengine yaendelee.
 
Hii ya kungonoka kwenye gari halafu ukute makalio ya jamaa ndio yapo pale kwenye honi.
 
Yani inachosha!
Jamani hakuna wenye matokeo mazuri ya MMU waje watupatie hapa!
Mbona the future looks very grimm!!
 
Ndoa miezi 2...

Mimba miezi 6...what a miracle!!!!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

sii alijiweka kimgegedo ssa jamaa kagegeda kamtia mimba kaoa na anaendelea kugegeda nje...ndio wajifunze kutogawa papuchi kabla ya kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…