Natamani nikuone kwa sula yako nikupe darasa,unajaribu kuonyesha unajua lakini kuna kitu kimepungua kwako,kuongea mengi hapa ni haisaidii,ukweli ni kama huo niliousema msioutaka kizazi hiki cha leoG'taxi, umeongea wee, nikataka nikubararukie lkn ukazid kuongea, ukaongea mpaka povu likakutoka, nikafika mahali ugusa penyewe taratibu nikawampole, kweli nimetokana na kambavu kamoja tu ka mwanaume, kweli Mungu amempata nafasi kubwa mwanaume, nikaenda mbali zaidi nikajisemesha moyoni mwangu hata Yesu wakati anachagua mitume hakuchagua mwanamke hata mmoja hata mama yake mwenyewe hakuchaguliwa. Kwahiyo nikaona upo sahihi lkn pamoja na yote bado mwanamke haweze kutokuwa wa thamani kwako. Ukinithamini ntakuthamini..emu basi wathaminini wake zenu kuna jambo haliko sawa jadirini.
Leah alisema walikubaliana mpaka amaliza kusoma ndipo wazae kosa lake lipo wapi? Acheni mifumo dume bhana aagha
...duh..boga kama hili kuna ndezi kajitwisha??Na huyu sijui kama ndoa yake itafikisha hata miezi sita.
Umeandika marefu nawewe halafu unarudia points za wenzako, emu kaa chini. Next..Hivi unajua kabla ya kuumbwa kwa Eva Mungu alimuumba mwanamke na mwanaume? Ge 1:26-29 and Ge 5:1-2
Unajua kwa nini Eva aliumbwa?
Ge 2:18, Mwanamke wa kwanza (Lilith) kabla ya Eva hatua zake za uumbwaji zilikuwa Sawa na Adam na hivyo kupelekea kukataa kuishi Kama mke wa Adam kwa kigezo cha kuwa sawa kiuumbwaji na kimamlaka.
Ge 2:23-25 Adam akasema, sasa huyu Ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke kwa maana ametwaliwa katika mwanaume..
"After Eve’s creation in Ge 2:23, Adam awakes and exclaims upon seeing her, “This time is this!”
The Hebrew term for “this time”, hapa’am, is used when an event repeats and the subsequent event is
being compared to the first. It could perhaps best be understood in English as “at this iteration”. So
Adam could understood as saying, “At this iteration is this!”, in reference to Eve standing before him.
Adam’s use of this word implies that he is comparing Eve’s creation to a previous creation"
Hapa tunajifunza kwamba Eva aliumbwa kutoka katika nyama za ubavu wa Adam kwa ajili ya kitofautisha mamlaka ya viumbe hawa wawili, Mwanamke siku zote atakuwa chini ya mwanaume na itakapotokea mwanamke anatAka kuwa juu ya mwanaume basi watu hao hawataweza kuishi pamoja.
View attachment 343930
Maandiko yanasema Adam alikuwa alone na sio lonely..Adam alihitaji msaidizi(helper) wa kumfaa.
Sasa tatizo linakuja siku hizi madada zetu hawafundishwi nafasi zao katika familia hasa kwa waume zao, wanawake wanataka kuwa juu ya waume zao na wasikilizwe kwa kila wanachokitaka..it's against nature na ndio maana mahusiano yanasumbua kuliko hata biashara siku hizi. Baadhi ya Wanaume nao hawajuhi mamlaka waliyopewa juu ya mwanamke na familia na hivyo kupelekea kupoteza natural authority ya kuwa mwanaume.
Kwa leo inatosha
Hahahaha, unaweza tokea lkn si Leo wala keshoNatamani nikuone kwa sula yako nikupe darasa,unajaribu kuonyesha unajua lakini kuna kitu kimepungua kwako,kuongea mengi hapa ni haisaidii,ukweli ni kama huo niliousema msioutaka kizazi hiki cha leo
We sema si leo wala kesho pasi kujua MUNGU amepanga nini,si nimekwambia MWANAUME ni habari nyingine?MUNGU anatuheshimu sana bana,hadi raha!!! Hi hi hihiiHahahaha, unaweza tokea lkn si Leo wala kesho
Nani alikudanganya kua MUNGU si dictator?huyo ana vyeo vyote duniani,mtibue uone kama siyo dictatorSiyo sababu, Mungu si dictator
Trust me nitafute nikupe darasaAngekuwa dictator angukuacha uendelee kuzinzika?
Shikamoo brother...jana tu nikiwa Barbershop baada ya kunyoa nikaenda kuoshwa na mdada,maneno niliyoambiwa na huyo mdada nilistaajabu,nikamuuliza yeye ni kabila gani. akatamka kabila ambalo ni langu,sikuamini.hawa viumbe ni shidaUtamthamini vipi mtu asiyejithamini yeye mwenyewe...!!!
Utamheshimu vipi mtu asiyejiheshimu...!!!
Vile watu wanavyokutendea au kukuchukulia maana yake ni kuwa wewe mwenyewe ndio umejijengea taswira hiyo mbele ya hao watu....
Mwanamke au kiumbe yeyote hapaswi kutumia nguvu wala mabavu kuipata heshima yako bali kujibadili wewe mwenyewe kwa kujiangalia kuwa unajikwaa wapi au wapi ulipokosea.....
Wanawake wamekuwa nembo ya shetani na kila aina ya ufirauni wa kishetani kwa kuwa wao wenyewe wameukumbatia ushetani wenyewe na kuufanya kuwa ni sehemu ya maisha yao.....
Leo hii mwanamke haoni aibu kukaa utupu hata mbele ya kadamnasi ya watu....leo hii mambo au maungo tuliyozoea kuyaona chumbani siku hizi yanaonekana hadharani.....leo hii mwanamke anaona fahari kumvulia mwanamme nguo hata kama hajamuoa.....
Leo hii mwanamke anaona fahari kujiuza au kuutumia mwili wake kama kitega uchumi kwa kisingizio cha maisha magumu kana kwamba dunia nzima inategemea yeye.....lakini ukitazama kwa undani kabisa hayo yote katika akili ya kawaida ni vigumu kuyafanya bila ya kuwa na msukumo ndani yako...na huyo si mwingine bali ni USHEITWANI.....kamwe hauwezi ukaenda kinyume na amri za muumba wako na ukabaki salama......