MtanzaniaJeuriSr.
Senior Member
- Mar 28, 2012
- 187
- 96
Ahsante kwa kushare ndoto zako, umba mtu wako tuHelooooooo!
Wanajamvi natumai mu wazima wa Afya njema.
Twende moja kwa moja kwenye Mada.Ni kwamba kwa utafiti niliofanya kwa Muda mrefu Sasa.Kuhusu hii kitu inayoitwa USALITI.
Asikwambie MTU..Wanaume walio wengi Wapo Radhi kutoa Uhai wa MTU Hata kujeruhi wanapoona mpenzi au mke Kasaliti.
Huumia sana..NA Ni wagumu kusamehe jambo hili likitokea tofauti kidogoo NA jinsia ya kike.Sasa Cha ajabu Wanaume hao hao wengi wao hawazingatii factors zinazopelekea Usaliti..
Yaani wanapuuzia mambo madogo sana kwa wake au Wapenzi wao.Sasa Enyi Wanaume mkitaka Vitumbua vyenu viwe safe NA Mmiliki wenyewe kwa kiasi kikubwa Basi Ni lazima Kuzingatia yafuatayo.
1.Jitahidi kadri unavyoweza kujua kwa mwezi mzima mkeo au mpenzi wako anahitaji nini au Budget yake ni Kiasi gani .NA kama una mke/ mpenzi mwenye kufanya Kazi au biashara Si vibaya ukamuongezea pale.Mfano Ndani ya mwezi ni kawaida mke au mpenzi kusuka mtindo wowote wa nywele au kama Si mpenzi wa kusuka Ataenda salon au mafuta ya kulainisha nywele au vyovyote jua Budget yake MPE au muongezee.Pia jari muonekano wake kwa mavazi mafuta ya kupaka vitu kama perfume ,lotion, Viatu Japo Sio lazima iwe kila mwezi.Je Viatu vya kazini vimeisha au Kuna ulazima Nunua..Pia Nguo Hata za mitumba zipo kwa Mara chache.Onyesha careness.
2.Kauli ..kuwa NA lugha ya ushawishi penda jokes sometimes penda kuupuuzia baadhi ya mambo Sio kila kitu ukishadadiee.Muelewe mpenzi wako .Pia Ni vizuri kujua weakness NA strengh za mke/ mpenzi wako itasaidia kupunguza misuguano isiyo ya lazima.
3.Mfanye awe Malkia wa Dunia yako..Mfano mnatoka mkiwa NA Usafiri wenu asijifungulia Gari..nenda upande wa Siti yake mfungulie akae.Halikadhalika mtakapoenda kaa kama Ni Sehemu ya kustarehe akae Yeye kwanza Yaani Lady First.!!
4.Wai kurudi Nyumbani..ukichelewa au.kama utapitia mahali just let her know..Mfanye aone Yeye Ndo kila kitu.NA Watu wanaowazunguka watambue hivyo kwa kuona matendo.
5.Jari hisia zake..Mfano ana lalamiko mwache aongeeee yote MPE ushauri Kuna mahali kakosea usimfokee mbele za watu nenda naye Chumbani mkanye muonye Huyo Ni Mtoto wako wa kwanza.Ukimkanya kwa Upendo Ataona Aibu NA Atajirekebisha tu.
Sasa Ninyi Wanaume huwa mnapuuza yote hayoo au huwa mnayafanya kwa kipindi cha chumba au Mwanzo wa mapenzi.Hali inayopelekea Mwanaume mwingine kuingilia Kati NA kuwamegea VITUMBUA vyenu.
Mnaanza kuapiza kuua sijui Visasi.Kumbe Makosa.mnayafanya ninyi.Believe me or not..mwanamke ana hulka ya Asili Asipojaliwa Ni Rahisi sana Kurubunika Msela wa Mtaa au mpuuzi mjinga mjinga mmoja anaweza Akammega mpenzi wako au mkeo wa Nywele tu ya Elfu 40.Kumbe ungejua Budget yake ukaokoa Mali zako zisichezewe.Wapo wabishi but jueni kwa Ununda wenu Kwa kujifanya kwenu Wabahili wapenzi wenu Mnao Lakini wanamegwa Daily na Hamtajuaaaa!!!kwa kuwasaidia nimewapa Hints za Kuepusha hayo Majanga.
Amini usiamini Wanaume wengi huchangia Mwanamke kuchange Tabia na kuamua Liwalo na liwe.Badilikeni iyo itafanya positive Behavior itokee upande wa pili.Una wivu huku hujui kutake Care???Just Change guys.You have that power!!!
Very well saidTheory ya mahusiano ni rahisi sana kila mtu anafaulu, njoo kwenye practical ndo balaa.
Hayo yote uliyoandika unaweza kufanya na bado ukamegewa tu cha msingi umpate mwanamke ambaye kashakubali kua na wewe bila kujali hali
Yaani wanapuuzia mambo madogo sana kwa wake au Wapenzi wao.Sasa Enyi Wanaume mkitaka Vitumbua vyenu viwe safe NA Mmiliki wenyewe kwa kiasi kikubwa Basi Ni lazima Kuzingatia yafuatayo.
kuna vitu vingine vinachekesha mkuuAchepuke tu hakuna wa kufanya upuuzi wote huo eti kumfungulia mlango wa gari duuuh!!
Na ubebe tu maana ndio mfilipino atakaekufaa, hawa wengine naona walilelewa kuwa mahusiano ni ya mwanamke tu so kuwaspoil wake zao ni ndoto za alinacha.Weekend nahamishia zubeda langu kwa benny, after six months ntakuwa nimeshaolewa tayari, ntachangia comments vizuri sasa lol. Sitaki ujinga mimi, si anajifanya hataki kuja home teh
Honestly sielewagi mtu akiniuliza "umeolewa" kwa sababu ya comment yangu. Hakuna formula ya mahusiano kwamba wote mtaishi kwa style fulani ndoani. Hatujaolewa yes, but ndo tunajenga misingi ya ndoa zetu now. Hatuwezi kuyajua ya ndoani yote kwa sababu hatupo kwenye hizo ndoa, but na sisi tuna mahusiano tunayoyaendesha kwa style yetu. Na ndo msingi wa ndoa zetu hapo baadaye. Plus tumezungukwa na wanandoa, kuna vitu vizuri ambavyo wanavifanya, so sidhani kama hatuna haki ya kumshauri mtu fanya hivi simply because hatuna ndoa
Teh ukisoma baadhi ya comments humu, unaweza kukata tamaa ya ndoa kabisa, maana it's as if ni utumwa. But hatuna sababu ya kuogopa wala kukata tamaa, coz tuna uwezo wa kutengeneza aina za ndoa tunazozihitaji sisi. So far hatutolazimishwa kuishi kama wanandoa wengine wanavyoishi.
Hapa si mahali pakeHi wadau wa jf am a new member...intro ni muhimu.ukwl nmependa disc zenu.
nilipofika hapa nikaacha kusoma.3.Mfanye awe Malkia wa Dunia yako..Mfano mnatoka mkiwa NA Usafiri wenu asijifungulia Gari..nenda upande wa Siti yake mfungulie akae.Halikadhalika mtakapoenda kaa kama Ni Sehemu ya kustarehe akae Yeye kwanza Yaani Lady First.!!
hahha kuna ukweli hapa... wafilipino sio kabisa, wengine tunaonekana hatujui kupendaUtaambiwa unaangalia sana tamthilia za kifilipino teh. Ziletwage tu threads za jinsi ya kumhudumia mume, ndo wanazitaka
mmmh ngoja nfanye uchunguzi wangu hapa...Kwa namba moja sichepuki hata kidogo, tena nakituliza hadi usiamini majicho yako.
Haya endeleeni kuangalia mieleka, mui-apply tehhahha kuna ukweli hapa... wafilipino sio kabisa, wengine tunaonekana hatujui kupenda
Ahsante bi mkubwa. .Na ubebe tu maana ndio mfilipino atakaekufaa, hawa wengine naona walilelewa kuwa mahusiano ni ya mwanamke tu so kuwaspoil wake zao ni ndoto za alinacha.
'Mahusiano' yanajengwa na wawili na lazima yawe two way trafik, ukiona unatoil ila mwenzio hata habari hana jua hayo sio 'mahusiano' iwe ni ndoani au sio ndoani. pamoja na kuwa tamaduni kutofautiana tunabaki kuwa wote ni binadamu, so kuna vitu bado viko comon among us, ila pia kwani ile kusomana na kujuana vizuri kwani huwa inafanyika ili iweje???
Tusiwe na mawazo hasi tuuu, as if kuna only way kwenye ndoa na lazima kila mtu aifuate hiyo, just beacause yako imebuma it daznt mean kuwa zote zimebuma, na ikibuma ni nyie wawili ndio mmechangia. Watu tujifunze kuwa positive sio kukatishana tamaa tu.
kwa kweli, hata mimi nimeipendaNashukuru kwa namba moja.