Wanaume huwa mnakosea hapa!

Akili zao wanazijua wenyewe. Utamsaidia kupika siku hiyo kwa mapenzi na upendo tu, mwenzio ndo anaandika ni jukumu lako pia.

Hayo uliyoandika hapo juu yote ni upuuzi tu.

ISHI NA MWANAMKE KWA AKILI na siyo hayo uliyoandika.
 
Theory ya mahusiano ni rahisi sana kila mtu anafaulu, njoo kwenye practical ndo balaa.
Hayo yote uliyoandika unaweza kufanya na bado ukamegewa tu cha msingi umpate mwanamke ambaye kashakubali kua na wewe bila kujali hali
Umenena
 
Hyo namba 2 ndo nmeipenda coz misuguano mingne cyo ya lazma kabsa
 
women post shit like dis 4 their own advantage
 
Dada anatoka kbla moja maarufu kwa mambo ya kugegedana liko kule kanda ya ziwa a. K. a tetemeko
 
Mkuu wanawake hawatosheki hata ungewamilikisha dunia nzima. Utakaa sana!
 

Sasa utakuta maybe janamke lenyewe lipo na wewe kwenye ndoa coz limekupendea hela, au limeolewa na wewe ilimrad basi tu kwa vile kakosa better options lyk wanaume anaowataka yeye, wao hawamtaki (hapo utakuta kwenye kutongoza limeshakuzungusha weee kwa miaka 2), hayo mapenz utamwonyesha saa ngap, tena mwanamke wa hivo akimuona mumewe tu, moyoni anakereka tu sema bas afanyeje. Kwenye relationships wa2 wengi wanateseka ww, we acha tu Heaven Sent
 
Pumba tupu!!! Kama kuchepuka ww chepuka tu! Mbona hiyo papuchi sio yangu.....ni yako tena yako mwenyewe! Ww iuze ununue......."kama unampenda mumeo vilivyo mambo yakijinga utayaweka kando.....pia mie huwa nina amini Mwanamke mwenye dini na imani ya kweli hanaga mambo mengi kama uliyo taja hapo juu.
 
Kukubaliana na kuridhika tu, waweza fanya kila kitu na bado mwanamke akatoka. Haya Mambo yako vice versa in real life.
 
Thredi ya kijinga sana hii.....tuache kuwaza mambo ya uchumi tuwawaze nyie kihivyo. Yaan full dedication full concentration kuwawazeni tu, Tutawakula kama chakula? tutawaendesha kama magari? tutawalipa kama karo? kumbafu.
 
Zawadi kwa mtoa mada[emoji182] ila wanaume wengi wanakwambia nani awe mtumwa wa mwanamke..... Hayo yooote uliyo yataja wanaume wachache saana ndiyo wanaweza kuwatekelezea wenzi wao....na si km uwezo hawana wanao Sana ila ubabe mwingi...kwasabab anajiona anapesa ni handsome anaona kesha maliza kila... Hamna mwanamke anaeweza kufurukuta kwakeee...

Cc:Michaelry
 
Safi sana.
Sisi ni Binadam na ubinadam wetu unakamilshwa kwa mapungufu tuliyonayo you can't be financially vry supportive to your loved one at the same time you have a really and complete love to the same person there is a point where you will complete your humanity so let's be humble to each of us
 
You know nothing about women. Kuna mambo hapo umeyataja lakini yanategemea akili na malezi aliyopewa mwanamke wako. Kwani kwa wengine ndio anakuona wewe msukule wake umekufa umeoza na atakuburuza hadi ujute. Na mwingine ataenda kuliwa nje huku akijisifu kwa mchepuko wake kwamba yule bwege nimekamata wala hafurukuti hivyo usihofu tule raha zetu tu. Hakuna formula ya mapenzi inayofanya kazi kwa wote.
 
Acha visingizio, mliagizwa mtupende, unaanzaje sasa kuacha kutupenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…