Wanaume huwa mnakosea hapa!

Wanaume huwa mnakosea hapa!

Heloo

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
4,391
Reaction score
3,409
Helooooooo!
Wanajamvi natumai mu wazima wa Afya njema.
Twende moja kwa moja kwenye Mada.Ni kwamba kwa utafiti niliofanya kwa Muda mrefu Sasa.Kuhusu hii kitu inayoitwa USALITI.

Asikwambie MTU..Wanaume walio wengi Wapo Radhi kutoa Uhai wa MTU Hata kujeruhi wanapoona mpenzi au mke Kasaliti.

Huumia sana..NA Ni wagumu kusamehe jambo hili likitokea tofauti kidogoo NA jinsia ya kike.Sasa Cha ajabu Wanaume hao hao wengi wao hawazingatii factors zinazopelekea Usaliti..

Yaani wanapuuzia mambo madogo sana kwa wake au Wapenzi wao.Sasa Enyi Wanaume mkitaka Vitumbua vyenu viwe safe NA Mmiliki wenyewe kwa kiasi kikubwa Basi Ni lazima Kuzingatia yafuatayo.

1.Jitahidi kadri unavyoweza kujua kwa mwezi mzima mkeo au mpenzi wako anahitaji nini au Budget yake ni Kiasi gani .NA kama una mke/ mpenzi mwenye kufanya Kazi au biashara Si vibaya ukamuongezea pale.Mfano Ndani ya mwezi ni kawaida mke au mpenzi kusuka mtindo wowote wa nywele au kama Si mpenzi wa kusuka Ataenda salon au mafuta ya kulainisha nywele au vyovyote jua Budget yake MPE au muongezee.Pia jari muonekano wake kwa mavazi mafuta ya kupaka vitu kama perfume ,lotion, Viatu Japo Sio lazima iwe kila mwezi.Je Viatu vya kazini vimeisha au Kuna ulazima Nunua..Pia Nguo Hata za mitumba zipo kwa Mara chache.Onyesha careness.

2.Kauli ..kuwa NA lugha ya ushawishi penda jokes sometimes penda kuupuuzia baadhi ya mambo Sio kila kitu ukishadadiee.Muelewe mpenzi wako .Pia Ni vizuri kujua weakness NA strengh za mke/ mpenzi wako itasaidia kupunguza misuguano isiyo ya lazima.

3.Mfanye awe Malkia wa Dunia yako..Mfano mnatoka mkiwa NA Usafiri wenu asijifungulia Gari..nenda upande wa Siti yake mfungulie akae.Halikadhalika mtakapoenda kaa kama Ni Sehemu ya kustarehe akae Yeye kwanza Yaani Lady First.!!

4.Wai kurudi Nyumbani..ukichelewa au.kama utapitia mahali just let her know..Mfanye aone Yeye Ndo kila kitu.NA Watu wanaowazunguka watambue hivyo kwa kuona matendo.

5.Jari hisia zake..Mfano ana lalamiko mwache aongeeee yote MPE ushauri Kuna mahali kakosea usimfokee mbele za watu nenda naye Chumbani mkanye muonye Huyo Ni Mtoto wako wa kwanza.Ukimkanya kwa Upendo Ataona Aibu NA Atajirekebisha tu.
Sasa Ninyi Wanaume huwa mnapuuza yote hayoo au huwa mnayafanya kwa kipindi cha chumba au Mwanzo wa mapenzi.Hali inayopelekea Mwanaume mwingine kuingilia Kati NA kuwamegea VITUMBUA vyenu.

Mnaanza kuapiza kuua sijui Visasi.Kumbe Makosa.mnayafanya ninyi.Believe me or not..mwanamke ana hulka ya Asili Asipojaliwa Ni Rahisi sana Kurubunika Msela wa Mtaa au mpuuzi mjinga mjinga mmoja anaweza Akammega mpenzi wako au mkeo wa Nywele tu ya Elfu 40.Kumbe ungejua Budget yake ukaokoa Mali zako zisichezewe.Wapo wabishi but jueni kwa Ununda wenu Kwa kujifanya kwenu Wabahili wapenzi wenu Mnao Lakini wanamegwa Daily na Hamtajuaaaa!!!kwa kuwasaidia nimewapa Hints za Kuepusha hayo Majanga.

Amini usiamini Wanaume wengi huchangia Mwanamke kuchange Tabia na kuamua Liwalo na liwe.Badilikeni iyo itafanya positive Behavior itokee upande wa pili.Una wivu huku hujui kutake Care???Just Change guys.You have that power!!!
 
Siku hizi ukitaka kuwa rafiki wa wanawake, au blog yako iwe na followers wengi, wewe andika mada hizi za kuwaweka wanawake safe side, na kufunika funika madhaifu yao huku ukiwashambulia wanaume.

Naona jamaa mmoja anaitwa somebody Chriss Mauki ana generate traffic kubwa sana kwa mada za namna hii, akiandaa kasemina kamoja anaweka kiingilio Tsh 40,000 kwa kichwa na elfu 80,000 kwa copules na anajaza nyomi kweli kweli.

Kasoma fursa, kaitumia fursa.

All in all life lazima iendelee na wajinga lazima waendelee kuliwa tu.
 
Theory ya mahusiano ni rahisi sana kila mtu anafaulu, njoo kwenye practical ndo balaa.
Hayo yote uliyoandika unaweza kufanya na bado ukamegewa tu cha msingi umpate mwanamke ambaye kashakubali kua na wewe bila kujali hali
 
Siku hizi ukitaka kuwa rafiki wa wanawake, au blog yako iwe na followers wengi, wewe andika mada hizi za kuwaweka wanawake safe side, na kufunika funika madhaifu yao huku ukiwashambulia wanaume.

Naona jamaa mmoja anaitwa somebody Chriss Mauki ana generate traffic kubwa sana kwa mada za namna hii.

Kasoma fursa, kaitumia fursa.

All in all life lazima iendelee

Ha ha haaaa hiyo fursa ikija kugeuka, ndoa yake itakua taabani kama haipo kwenye mushkeli sasa hivi.
 
Ha ha haaaa hiyo fursa ikija kugeuka, ndoa yake itakua taabani kama haipo kwenye mushkeli sasa hivi.
Wadada wanavyopenda masiha imaginary lazima watakuwa washamsumbua sana aiseee.

Ni upepo tu wa fursa ameamua kwenda nao, bahati mbaya upepo huja na vumbi, sasa sijajua kama tayari vumbi lishamtifukia.
 
Ha ha duuh mzigo wote huo unabebeshwa mwanaume!!!! Alafu unafanya yote hayo bado itakuja ambiwa bebi wng hanifksh kileln...daah wanaume kweli tunamajarbu. Ila freshii tupambane na hali zetu maan hakuna namna
Chagua 1 kumegewa au just kutake care.Ugumu Upo wapi hapo
 
Siku hizi ukitaka kuwa rafiki wa wanawake, au blog yako iwe na followers wengi, wewe andika mada hizi za kuwaweka wanawake safe side, na kufunika funika madhaifu yao huku ukiwashambulia wanaume.

Naona jamaa mmoja anaitwa somebody Chriss Mauki ana generate traffic kubwa sana kwa mada za namna hii.

Kasoma fursa, kaitumia fursa.

All in all life lazima iendelee
Wanaoshikilia Dunia Ni Wanawake..Mkeo anaweza akaamua uishi au usiishi.Kumbuka anapiga Chakula chako.Take care just be humble
 
Wanaoshikilia Dunia Ni Wanawake..Mkeo anaweza akaamua uishi au usiishi.Kumbuka anapiga Chakula chako.Take care just be humble
Nani alikwambia wanaoshikilia dunia ni wanawake??

Mwanaume akigoma kuleta chakula nyumbani utapata hata hicho cha kupika??
 
mmmh kweli ndo hutachepuka!??
Kuchepukaa kunachangiwa sana NA hupuuziwaaa...Kwani unadhani Ni wanawake wote wanaochepuka wanafuata Dushelele tu sijui kubwaa sijui nn.No ..Jibu la hayo Just take care!!Kwa sababu Nina Uhakika Mpaka mwanamke anamkubalia mwamme anakuwa hajafunguliwa zipu kuona Kitu Bali Huvutiwa NA kujaliwa au Zile Technic za Mapenzi..mengine mbwembwe tu
 
Ha ha haaaa hiyo fursa ikija kugeuka, ndoa yake itakua taabani kama haipo kwenye mushkeli sasa hivi.
Haiwezi kuisha hiyo Ni Life..Mada zozote za wanawake zinalast longer kwa sababu Ndo maisha ya kila Siku..wanawake Ndo wanaotawala kwa mambo mengiiii
 
Back
Top Bottom