Wanaume, huwa mnaharakia nini?

Tatizo ni no reforms no election
 
Kwamba huna idea kabisa au hujawahi waza kujaribu
kweli sijawahi na sijui chochote,,sai nko single na sitegemei kua double kwasasa kwaio,, msaada wako plizzzz
 
Kachunguze wanyama wote duniani, hilo jambo la kuandaliwa linatoka wapi? Kama anajiandaa na nyie jiandaeni- akirusha tu, muwe tayari kudaka hapo hapo… kisima huwa tayari kuchotwa Maji anytime bila kuandaliwa- Amekeni na nyie muwaandae wanaume zenu . Mko too selfish…
 
kweli sijawahi na sijui chochote,,sai nko single na sitegemei kua double kwasasa kwaio,, msaada wako plizzzz
Sitaki kuwa wa kwanza kukufundisha tabia mbaya😀
 
Sawa mkuu
 
Ni wanaume wachache mno 1% wanaojua kufanya mapenzi wengi wanachomeka chomoa kojoa ndani ya sekunde biashara imeisha

99.9% ya wanawake hawafikishwi kileleni unaweza kukuta mwanamke anazaa mpaka anazeeka hajawahi kukokozwa only 0.1% ndio wanaexperience ya kileleni

Wanaume jifunzeni kuchukua muda na kujiandaa kwenye kufanya mapenzi sio dudu yako ikishasimama tu basi unawaza kuchomeka na kumwaga mnaboa
 
Tunawahi MISHE-MISHE......Maana tunajua Mambo ya hapo tumeshayamaliza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…