Wanaume, huenda hatutambui thamani yetu?

Wanaume, huenda hatutambui thamani yetu?

Semeni ukweli tu kuwa nyie ni wabovu na mnaogopa kuonwa live, mnajua mtadhalilika kwa kuonwa kuwa nyie ni wabaya na hamkidhi vigezo vya hela muitakayo
We takax2 🚮🚮 huna hata hadhi ya kuongea na mimi, usitake nikuaibishe humu.
roasting comedy roast GIF by Kevin Hart's Laugh Out Loud.gif

Vijana mbona yanajiuza kwa mishangazi
Na ukiyakataa ndiyo yanakuja kutapika uharo wao humu kama huyo Marioo hapo juu 🚮 🚮 .
 
We takax2 🚮🚮 huna hata hadhi ya kuongea na mimi, usitake nikuaibishe humu.
View attachment 3683083

Na ukiyakataa ndiyo yanakuja kutapika uharo wao humu kama huyo Marioo hapo juu 🚮 🚮 .
Tapika nyongo😎

Wewe kubali kuwa nyie ni I wabovu ndo maana mnajifanya Kuringa🤣

Mna uzuri gani?

Anyways usinianike kwa jukwaa maana itakuwa unanipakazia kama hao wanasema kuwa mimi omba omba
 
Hiyo ni nature huwezi ukaielezea kwa akili ya kawaida. We hujiulizi dume la mnyama mfano ng'ombe, mbwa, paka au simba wamepewa uwezo wa kunusa nyege alizonazo jike lakini jike hana uwezo wa kunusa nyege za dume. Hilo jambo anajua aliyetuumba.

Sawa
 
Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kuhusu madanguro.

Ukisikia danguro la wanawake, mara nyingi unakuta wanaume ndio wateja wengi. Lakini kwa nini ni nadra sana kusikia kuhusu danguro la wanaume lenye wanawake wengi wanaolipa huduma?

Kama wanawake na wanaume wote wana mahitaji ya kimapenzi, kwa nini upande mmoja unaonekana kuwa na demand kubwa zaidi?

Je, sisi wanaume hatujui thamani yetu kiasi kwamba tuko tayari kutumia pesa na nguvu nyingi kumfuata mwanamke, wakati wanawake hawafanyi hivyo kwa kiwango kilekile?

Au kuna sababu nyingine ambayo wanaume wengi hatuioni?

Wanawake wenyewe, hebu mtusaidie kuelewa hii. 👀
Yeap kuna jambo la ukweli hapa.
 
Back
Top Bottom