Dunia iko uchi Mkuu, sa hivi watu wanatafuna ass za Wenzao. Kuna dogo m1 hapa arusha anajifanyaga dalali wa magari, Mara yuko mererani kwny madini kumbe chenga tupu waarabu wanamtafuna mpk wamempangishia nyumba Njiro. Mpk wamtoe puru ndo ataelewaDoooh inasikitisha sana. Hivi wanaume wanaowahudumia wanaume wenzao kimapenzi walishawahi kuwaza kuwa iko siku watoto wao wa kiume nao watafanyiwa hivo au wadogo zao wa kiume nao watafanyiwa huo umajinuni?
Inasikitisha sana, kaka mwenye staha zake ila
daah..... matendo yake ......
Wanajipodoa ndipo wanahamasisha mende kuanza kuwafuata fuataJapo sikubaliani na swala la mtoto wa kiume kujiremba lakini sio wote wanaojipodoa wanachapwa nao au wanaelekea huko..Wengine ni marijali wazuri tu lakini wanajipodoa
Hivi kwa Nini mwanaume umfire mwanaume mwenzio wakati wanawake wapo kwaajili yetu?Doooh inasikitisha sana. Hivi wanaume wanaowahudumia wanaume wenzao kimapenzi walishawahi kuwaza kuwa iko siku watoto wao wa kiume nao watafanyiwa hivo au wadogo zao wa kiume nao watafanyiwa huo umajinuni?
Inasikitisha sana, kaka mwenye staha zake ila
daah..... matendo yake ......
Mkuu kwa kiasi kikubwa ushoga ni hisia..Na mara nyingi wengi wanakuwa nazo..Wachache ndo zinaanzia ukubwani..Mtu kama hana hisia hizo ni ngumu sana kugongwa haijalishi anajipodoa au Lah..Wanajipodoa ndipo wanahamasisha mende kuanza kuwafuata fuata
Ushoga wanajifunza Mkuu, masuala ya kwamba ni hisia siamini Mkuu. Unataka kuniambia watoto wadogo wa kiume wanaolala shule za boarding na kuanza kugongwa na vijana wakubwa wakiume wakiwa huko shuleni, Hao watoto wadogo wanakua na hisia za kishoga mpk kugongwa na wenzao? Mfano mzuri vijana wengi wa kiume walioenda kusoma Uganda shule za boarding wakiwa wadogo miaka Ile sa hivi hapa town ndo wanakimbiza kwa Ushoga Mkuu.Mkuu kwa kiasi kikubwa ushoga ni hisia..Na mara nyingi wengi wanakuwa nazo..Wachache ndo zinaanzia ukubwani..Mtu kama hana hisia hizo ni ngumu sana kugongwa haijalishi anajipodoa au Lah..
Habari zenu,
Naombeni mnisaidie hii kitu siielewi vizuri. Hivi mtu mwenye jinsia ya kiume anapofanya mambo ya kike huwa mnamuitaje?
Je kutambua mtu mwenye jinsia ya kiume anafanya mambo ya kike na kuitwa jina maalum (....) ni hadi afanye mambo mingapi ya kike?
Je akifanya jambo moja tuu la kike kwa mara ya kwanza je huyu mtu utasema anatabia za kike au anajifunza (u....)?
Mfano mkaka anapofanyiwa manicure na pedicure baa na wale vijana wanaotembea na vikapu vya kupaka rangi kisha anakatwa kucha na kupakwa rangi ya colourless..... hapo mnasemaje? Imekaa sawa hii?
Je huo sio mwanzo wa kesho kwenda saluni kutinda nyusi na kuanza kupaka lips shine?
Hivi huo ni usharobaro au ndo style za mjini? Nisaidieni wanaume hizi tabia za wanaume kwa wavulana kufanya tabia za urembo wa kike ni sawa?
Au ndo atari za umagharibi? Kweli jamani.... mmmh mie naona haijawa sawa ila naombeni maelezo yenu.
Mlale unono na wote.
Kasie.
Huo ujinga unapatikana kwa wingi mjini Daresalama! Huku mikoani usijaribu!Habari zenu,

Mwanaume wa DarHabari zenu,

acha kukurupuka kama rc aliyetumbuliwa. umesahau yule punga aliyeolewa kule uk? alikuwa anatoka arachuga.Huo ujinga unapatikana kwa wingi mjini Daresalama! Huku mikoani usijaribu!
Usihame tupe last chance ukihama wanaume wa dar watapungua...Tumechoka jamani, kila siku mwanaume kafanya hivi, mwanaume yuko hivi. Nyie wanawake mwatutaka nini sieeeee? sasa natangaza rasmi kuhama dar. period
Mwanaume anaejipodoa analambwa, periodWanajipodoa ndipo wanahamasisha mende kuanza kuwafuata fuata