Wanaume hii bajeti inapita?

Wanaume hii bajeti inapita?

INSIDER MAN

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2018
Posts
2,057
Reaction score
20,918
Sahivi kama unakutana na demu lazma ujipange kifedha lasivyo utakua mnyonge sana. Ipo hivi unakutana na pisi yako kesho weeknd

Usafiri weka 30k
Dinna weka 40k
Mtaenda kiwanja kikali bajet ya drinks kadiria atakunywa savanna 6 wewe heineken 6 kadiria kama 70k baada ya hapo utahitaji hotel kali au lodge ni 50k ndo uhakika utaenjoy na mgegedo utakua mzuri. Asubuhi utampa cash minimum 30k.

JUMLA 220,000/= hii bajeti imekaaje masela hauvimbi weeknd ???
 
Mwisho Wa 2021 Kwa Kweli Nimehonga Kupita Kiasa Sambamba Na Mwanzo Wa Huu Mwaka 2022 Pia Nimeanza Kwa Kuhonga Kupita Kiasi.


Pumbafu kabisa mimi.

Itabidi Nishushe Uzi Kusaidia Wengine Wasirudie Huu Upumbafu.
 
Na atatembea anakatika mpaka afike, ataogeshwa na maji yenye karafuu, mdalasini na hiliki atapikiwa chakula kitam hajawahi kula. Atapewa show atayoiota usiku mzima😂
wala hatasikia akiambiwa "nimechoka" "haumalizi tu"..... ni viuno kwa kwenda mbereeee, kila baada ya dakika kadhaa style inabadilishwa, hata doggie atapewa ile classic mgongo unatengeneza curve ya hatari.....kinyume na hapo doggie atapata ile inafanana na lenzi mbinuko
 
Back
Top Bottom