Wanaume heshimuni ndoa zenu

Wanaume heshimuni ndoa zenu

Nina mpenzi wangu ambaye nimeridhika naye kwa kuwa ninampenda, na kama mapenzi ya Mola yatatimia ningependa awe mama wa watoto wangu. Ni mwanaume wake wa kwanza.

Ni binti mrembo, anajiheshimu, mpole kidogo, mrefu wa wastani, kwa kifupi ametimiza vigezo muhimu vya mtu anayefaa kuitwa mke wa mwanaume wa kiafrika, ikiwemo age gap ya miaka 4. Kilichonileta hapa jf ni kwamba kwa sasa yuko likizo kwa dada yake aliyeolewa. Mume wa dada yake amekuwa akimtaka kimapenzi huku akimuahidi kumpa pesa nyingi na zawadi kama atakubali kufanya naye mapenzi. Mpenzi wangu amekataa na kutaka kuondoka japo dada alimuomba aendelee kukaa hapo kumsaidia kwa kuwa ana mtoto mdogo.

Huyo bwana kuna siku huingia hadi chumbani kwa huyo binti wakati mkeo akiwa kazini. Jamani mimi huwa nina roho ngumu lakini hapa naumia nahisi kama anaweza kumuingilia kwa nguvu na kwa sasa sina uwezo wa kumuondoa pale. Ila jamani wanaume heshimuni ndoa!!!

Ni vyema huyo mchumba wako atafute sababu za kuondoka hapo. Kuliweka suala hilo wazi kwa dada yake ni jambo zuri, lakini linahitaji hekima sana maana mwisho wa siku anaweza kujikuta shemeji yake anamruka na yeye anaonekana mchonganishi na atakosana na huyo dadaake miaka yote. Pengine angeanza kwa kumrekodi maongezi yake kwenye simu na kutunza sms (kama aliwahi kutumiwa) ili siku akiamua kuyaweka wezi, basi kuwe na ushahidi wa kutosha.

Kama zoezi la kuhama ni gumu basi ni vyema awe makini sana na huyo shemejiye. Ajitahidi kumuepuka kwa kukaa naye mbali na kuhakikisha hapati muda wa kubaki naye wakiwa wawili. Chumba chake anapolala usiku au mchana kiwe kimefungwa ili kukwepa kufanyiwa vitendo vya ubakaji. Na yeye pia anatakiwa kuwa mkweli kwa kumwambia shemeji yake kuwa hayuko tayari kwa uhuni huo na pia atavujisha siri endapo ataendelea kumlazimisha. Tabia za utani na huyo shemeji yake aache na aoneshe seriousness kwenye mazungumzo yao kuwa hapendi tabia za kijinga.
 
Natamani nimuoe hata kesho ila yuko chuo anaingia mwaka wa pili.

Kuwa chuo sio kigezo cha wewe kushindwa kumuoa. Jipange uvute jiko fasta fasta kama unampenda kweli.
Mbona yuko chuo na tayari anajua mambo ya kugegedana? Endelea kuchelewa shemeji yake ajisevie.
When you find lulu (pearl) you protect it. Kumuoa is one of the way to protect her. Endelea kusubiri kama thread zako za vilio hazitaisha hapa jamvini.
I know a guy who decided to get married when he had no job and the lady was finishing her University. Life went on and the guy is having no problem takin care of the family. You can borrow that experience.
 
Kama una uwezo muoe haraka lkn ukizubaa jamaa atamtafuna tu...ukiona hakuambii tena story za huyo mume wa dada yake jua keshaliwa

Naona umeamua kumrusha stim jamaa! OGOPA Mwanamke anaekwambia fulan ananitaka! Changanya na zako!
 
Mwanaume wa kweli hutoa suluhisho la matatizo........,mwanaume wa kweli ni shujaa.......................mwanaume wa kweli hutumia dume!!!!!.................
 
Duu sasa hata ukimuoa huyo mume mwenzio katika familia ,mtaelewana kweli?
 
Ni vyema huyo mchumba wako atafute sababu za kuondoka hapo. Kuliweka suala hilo wazi kwa dada yake ni jambo zuri, lakini linahitaji hekima sana maana mwisho wa siku anaweza kujikuta shemeji yake anamruka na yeye anaonekana mchonganishi na atakosana na huyo dadaake miaka yote. Pengine angeanza kwa kumrekodi maongezi yake kwenye simu na kutunza sms (kama aliwahi kutumiwa) ili siku akiamua kuyaweka wezi, basi kuwe na ushahidi wa kutosha.

Kama zoezi la kuhama ni gumu basi ni vyema awe makini sana na huyo shemejiye. Ajitahidi kumuepuka kwa kukaa naye mbali na kuhakikisha hapati muda wa kubaki naye wakiwa wawili. Chumba chake anapolala usiku au mchana kiwe kimefungwa ili kukwepa kufanyiwa vitendo vya ubakaji. Na yeye pia anatakiwa kuwa mkweli kwa kumwambia shemeji yake kuwa hayuko tayari kwa uhuni huo na pia atavujisha siri endapo ataendelea kumlazimisha. Tabia za utani na huyo shemeji yake aache na aoneshe seriousness kwenye mazungumzo yao kuwa hapendi tabia za kijinga.

Update

Hatimaye ameondoka hapo kurudi nyumbani kwao moshi
 
Nina mpenzi wangu ambaye nimeridhika naye kwa kuwa ninampenda, na kama mapenzi ya Mola yatatimia ningependa awe mama wa watoto wangu. Ni mwanaume wake wa kwanza.

Ni binti mrembo, anajiheshimu, mpole kidogo, mrefu wa wastani, kwa kifupi ametimiza vigezo muhimu vya mtu anayefaa kuitwa mke wa mwanaume wa kiafrika, ikiwemo age gap ya miaka 4. Kilichonileta hapa jf ni kwamba kwa sasa yuko likizo kwa dada yake aliyeolewa. Mume wa dada yake amekuwa akimtaka kimapenzi huku akimuahidi kumpa pesa nyingi na zawadi kama atakubali kufanya naye mapenzi. Mpenzi wangu amekataa na kutaka kuondoka japo dada alimuomba aendelee kukaa hapo kumsaidia kwa kuwa ana mtoto mdogo.

Huyo bwana kuna siku huingia hadi chumbani kwa huyo binti wakati mkeo akiwa kazini. Jamani mimi huwa nina roho ngumu lakini hapa naumia nahisi kama anaweza kumuingilia kwa nguvu na kwa sasa sina uwezo wa kumuondoa pale. Ila jamani wanaume heshimuni ndoa!!!

Kilichokufanya ulete huu uzi hapa ni maumivu kwa kuwa mpenzi wako anafanyiwa hayo au ni ubinadamu?
 
By nature all Men are polygamists, there are trivial differences amongst some!
 
Back
Top Bottom