Wanaume heshimuni ndoa zenu

Wanaume heshimuni ndoa zenu

Jeanclaude

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
259
Reaction score
238
Nina mpenzi wangu ambaye nimeridhika naye kwa kuwa ninampenda, na kama mapenzi ya Mola yatatimia ningependa awe mama wa watoto wangu. Ni mwanaume wake wa kwanza.

Ni binti mrembo, anajiheshimu, mpole kidogo, mrefu wa wastani, kwa kifupi ametimiza vigezo muhimu vya mtu anayefaa kuitwa mke wa mwanaume wa kiafrika, ikiwemo age gap ya miaka 4. Kilichonileta hapa jf ni kwamba kwa sasa yuko likizo kwa dada yake aliyeolewa. Mume wa dada yake amekuwa akimtaka kimapenzi huku akimuahidi kumpa pesa nyingi na zawadi kama atakubali kufanya naye mapenzi. Mpenzi wangu amekataa na kutaka kuondoka japo dada alimuomba aendelee kukaa hapo kumsaidia kwa kuwa ana mtoto mdogo.

Huyo bwana kuna siku huingia hadi chumbani kwa huyo binti wakati mkeo akiwa kazini. Jamani mimi huwa nina roho ngumu lakini hapa naumia nahisi kama anaweza kumuingilia kwa nguvu na kwa sasa sina uwezo wa kumuondoa pale. Ila jamani wanaume heshimuni ndoa!!!
 
Kama una uwezo muoe haraka lkn ukizubaa jamaa atamtafuna tu...ukiona hakuambii tena story za huyo mume wa dada yake jua keshaliwa
 
Dada yake analijua hilo? maanake kama dada halijui ni kwamba either amekubali na wewe anakuzuga. Ushauri wangu mwambie aondoke kwa dadake mara moja anaweza kusingizia kitu chochote ili mradi tu aondoke ili kuepuka kuwagombanisha.
 
Natamani nimuoe hata kesho ila yuko chuo anaingia mwaka wa pili.
 
Nina mpenzi wangu ambaye nimeridhika naye kwa kuwa ninampenda, na kama mapenzi ya Mola yatatimia ningependa awe mama wa watoto wangu. Ni mwanaume wake wa kwanza.

Ni binti mrembo, anajiheshimu, mpole kidogo, mrefu wa wastani, kwa kifupi ametimiza vigezo muhimu vya mtu anayefaa kuitwa mke wa mwanaume wa kiafrika, ikiwemo age gap ya miaka 4. Kilichonileta hapa jf ni kwamba kwa sasa yuko likizo kwa dada yake aliyeolewa. Mume wa dada yake amekuwa akimtaka kimapenzi huku akimuahidi kumpa pesa nyingi na zawadi kama atakubali kufanya naye mapenzi. Mpenzi wangu amekataa na kutaka kuondoka japo dada alimuomba aendelee kukaa hapo kumsaidia kwa kuwa ana mtoto mdogo.

Huyo bwana kuna siku huingia hadi chumbani kwa huyo binti wakati mkeo akiwa kazini. Jamani mimi huwa nina roho ngumu lakini hapa naumia nahisi kama anaweza kumuingilia kwa nguvu na kwa sasa sina uwezo wa kumuondoa pale. Ila jamani wanaume heshimuni ndoa!!!

Ni mwanaume wake wa kwanza. ??HAAHAAAAA
UKIONA MANYOYA UJUE...
....................

A.KALIWA
B.KAFA
C.A&B
 
Dada yake analijua hilo? maanake kama dada halijui ni kwamba either amekubali na wewe anakuzuga. Ushauri wangu mwambie aondoke kwa dadake mara moja anaweza kusingizia kitu chochote ili mradi tu aondoke ili kuepuka kuwagombanisha.

Ushauri mzuri. Dada hajui, anamuamini mume wake lakini ndio hivyo. Nawapa pole wanawake wote wanaosalitiwa kwa staili hii.
 
Sasa dada hajui ndo ujue kuwa wewe sio mwanaume wake wa kwanza kwa huyo mpenzi wako.
 
Kupigiwa demu/mke wako hilo haliepukiki brother,hata kama ungekuwa umemuoa na mnaishi wote.Huyo binti ndo anakutia weye machungu,hapaswi kukueleza ishu izo hapo,ayamalize ye mwenyewe......JE SIKU AKIKUBALI NA KULIWA VYA KWENYE CHUPI ATAKWAMBIA?AMA WE UTAPENDA AKUAMBIE?
 
Hivi itakusaidia nini wewe kulalamika hapa while nothing is done about your case?Huyo msichana lazima amwambie dadaake kuhusu mienendo ya shemeji yake!au yeye ndio atakuja kuonekana mbaya!
 
kupigiwa demu/mke wako hilo haliepukiki brother,hata kama ungekuwa umemuoa na mnaishi wote.huyo binti ndo anakutia weye machungu,hapaswi kukueleza ishu izo hapo,ayamalize ye mwenyewe......je siku akikubali na kuliwa vya kwenye chupi atakwambia?ama we utapenda akuambie?

mwenzio ashakubali yoteee unahis utambadilisha asubiri aoe kisha ajiwe saa nane ya usiku mwenzie anahesabu sadaka kanisani....loh
 
Mwanaume anaandika hivi? Nimekusoma mkuu.

Chukua namba yake ,mpigie simu , tell him to f'uk off before you mess up his life, the gay has a lot to loose...

:In that order:
 
Hivi itakusaidia nini wewe kulalamika hapa while nothing is done about your case?Huyo msichana lazima amwambie dadaake kuhusu mienendo ya shemeji yake!au yeye ndio atakuja kuonekana mbaya!

Nashukuru mimi49. Nitazingatia ushauri wako
 
Sawa lakini vipi akijifanya akitaka huruma ya mwanamke kwa kujifanya mnyonge?

Chukua namba yake ,mpigie simu , tell him to f'uk off before you mess up his life, the gay has a lot to loose...
 
Pididy nitakuita usuluhishe

Hahahaaaa aisee karibu sana kwa hilo mkuu ingawa nitakula hela yako kidogo ila napenda kuongea binafsi kila mmoja na mnihakikishie kutengana sio hoja yenu kabla yakuingia mchakato wa kusuluhishakwa hilo usiogope weka kama unatoa zaka tu ...na itapokelewa kwa neema yote
Mungu akutie Nguvu mpendwa
 
Back
Top Bottom