Wanaume hebu njooni hapa kuna kitu ya bure

kwangu ni noooo siku zote ntakua dikteta kwa mwanamke. hawa wanawake wa siku hizi hakuna kuwachekea hata kidogo.watakuumiza
 
Sawa mnyoa kiduku, umesomeka.

-Kaveli-
 
Mambo! niaje walau! Kuna hii kitu nimeisoma mahala ikanibariki mnooooooooo hivo akili yangu ikaniwazisha sio Mbaya nikishea nanyi kwani yaliyomo yamo iwe kwenye mahusiano ya aina yoyote ile kwa namna moja ama nyingine hii kitu inahuu! Kwakweli sometimes mnajisahau kupitiliza.

1. Usijisahau katika mahusiano ukawa comfortable kiasi kwamba zile mbwembwe zote za kipindi unamtongoza mwanamke wako ukazipotezea.

Mwanaume smart haachi kumfanya mwanamke wake ampende zaidi. Mwanaume anaemfanya mwanamke wake ampende zaidi mahusiano yao hudumu mpaka uchweo.

2. Usisahau kufanya tabasamu kuwa kipaumbele cha mwanamke wako. Ole wao wanaume wanaowanyima tabasamu wapenzi wao wakaacha wanaume wengine ndio wawape tabasamu wanawake zao.

3. Yatunze maneno yako kwa uaminifu mkubwa. Uaminifu ni msingi imara wa mahusiano yenye afya. Mwanaume wa kweli hakimbii majukumu.

4. Usiwe mkoloni katika mahusiano. Kuna haki ya kusikiliza na kusikilizwa (natural justice). Kuwa mwanaume, admit kama umekosea. Kuwa na ujasiri wa kurekebisha pale ulipokosea

5. Usimfanye mwanamke wako aone kama anashindana na muda wako, mfanye ajisikie na yeye anathamani katika muda wako. Sio sababu ya kuwa na muda au laa bali ni jitihada ya wewe kutengeneza muda wa pamoja.

6. Usiwe mvivu. Kuna mtu mwingine pembeni ambaye anatamani kuwa na huyo mwanamke. Linda tunu yako kwa upendo, furaha na amani nae. Usiwe mvivu kumfurahisha, kumlinda, kumridhisha na kumsifia. Pombe na nyama choma zisije zikakuponza.

7. Usihukumu. Kila mmoja anafanya makosa na anajifunza kwayo. Usihukumu makosa yake wala past yake. Na kitu cha muhimu usimhukumu kwa vile unafikiri tofauti na yeye. Binadamu tunatofautiana sana. Enjoy kuwa nae kwa jinsi alivyo. Usilazimishe awe kama wewe.

8. Usi assume kwamba anajua kama unamjali, mwonyeshe kweli unajali. Mpe support katika shughuli zake i.e masomo, biashara, kilimo, etc. Mtumie sms, msikilize, msifie, muonyeshe mapenzi kwa maneno na vitendo na uwe mbunifu.

9. Usiwe mwanaume jina, acha tabia ya kuzila na kususa ,onyesha kuwa wewe ni mtu wa majukumu na ni kichwa katika mahusiano, jenga mahusiano kwa busara zaidi na sio kwa ki imla (dictatorship). Maumuzi yako ya kijinga kijinga yatakutokea puani.

10 Usikate tamaa kirahisi, najua maisha ni magumu ila mwanaume wa kweli anapotaka kitu, atafanya kila awezalo kukipata, unasubiri nini? fanya hivyo sasa.

Mwanangu, Kamwe usichoke kutenda mema maana utalipwa kwa wakati wako usipozimia moyo!

Ninajali.

Mahondaw
Ahsante sana
 
Aioyooooo aiyola ieeee
Aiyola mamamaaa

Si wa kunipanda kichwani hukumbuki tullikotokeaaa

Haina kumjali sana mwanamke ukimjali atakuona zoba cha msingi n mwendo wa kibeto tu
 
OK tumekupata
 
HONGERA umetiririka vizuri ni rai yangu kuwa wadogo zetu wanao anza upendo watajifunza kitu hapo.
 
Salitiwa na mkeo alafu yuone ukiendelea kimchekea na kumfanyia mbwembwe kama katuni.

Kuna wakati hata mood inagoma kabisa ukishajua mwenzako sio mwaminifu.
 
Mambo! niaje walau! Kuna hii kitu nimeisoma mahala ikanibariki mnooooooooo hivo akili yangu ikaniwazisha sio Mbaya nikishea nanyi kwani yaliyomo yamo iwe kwenye mahusiano ya aina yoyote ile kwa namna moja ama nyingine hii kitu inahuu! Kwakweli sometimes mnajisahau kupitiliza.

1. Usijisahau katika mahusiano ukawa comfortable kiasi kwamba zile mbwembwe zote za kipindi unamtongoza mwanamke wako ukazipotezea.

Mwanaume smart haachi kumfanya mwanamke wake ampende zaidi. Mwanaume anaemfanya mwanamke wake ampende zaidi mahusiano yao hudumu mpaka uchweo.

2. Usisahau kufanya tabasamu kuwa kipaumbele cha mwanamke wako. Ole wao wanaume wanaowanyima tabasamu wapenzi wao wakaacha wanaume wengine ndio wawape tabasamu wanawake zao.

3. Yatunze maneno yako kwa uaminifu mkubwa. Uaminifu ni msingi imara wa mahusiano yenye afya. Mwanaume wa kweli hakimbii majukumu.

4. Usiwe mkoloni katika mahusiano. Kuna haki ya kusikiliza na kusikilizwa (natural justice). Kuwa mwanaume, admit kama umekosea. Kuwa na ujasiri wa kurekebisha pale ulipokosea

5. Usimfanye mwanamke wako aone kama anashindana na muda wako, mfanye ajisikie na yeye anathamani katika muda wako. Sio sababu ya kuwa na muda au laa bali ni jitihada ya wewe kutengeneza muda wa pamoja.

6. Usiwe mvivu. Kuna mtu mwingine pembeni ambaye anatamani kuwa na huyo mwanamke. Linda tunu yako kwa upendo, furaha na amani nae. Usiwe mvivu kumfurahisha, kumlinda, kumridhisha na kumsifia. Pombe na nyama choma zisije zikakuponza.

7. Usihukumu. Kila mmoja anafanya makosa na anajifunza kwayo. Usihukumu makosa yake wala past yake. Na kitu cha muhimu usimhukumu kwa vile unafikiri tofauti na yeye. Binadamu tunatofautiana sana. Enjoy kuwa nae kwa jinsi alivyo. Usilazimishe awe kama wewe.

8. Usi assume kwamba anajua kama unamjali, mwonyeshe kweli unajali. Mpe support katika shughuli zake i.e masomo, biashara, kilimo, etc. Mtumie sms, msikilize, msifie, muonyeshe mapenzi kwa maneno na vitendo na uwe mbunifu.

9. Usiwe mwanaume jina, acha tabia ya kuzila na kususa ,onyesha kuwa wewe ni mtu wa majukumu na ni kichwa katika mahusiano, jenga mahusiano kwa busara zaidi na sio kwa ki imla (dictatorship). Maumuzi yako ya kijinga kijinga yatakutokea puani.

10 Usikate tamaa kirahisi, najua maisha ni magumu ila mwanaume wa kweli anapotaka kitu, atafanya kila awezalo kukipata, unasubiri nini? fanya hivyo sasa.

Mwanangu, Kamwe usichoke kutenda mema maana utalipwa kwa wakati wako usipozimia moyo!

Ninajali.

Mahondaw
Gd.................
 
Dah.... Hapo namba 4 umechemka balaa.....kwa hawa mabinti wa mwendo kasi?[emoji15]
 
Kuna walioyafanya yote hayo na zaidi na bado wakachapiwa/wakaachwa. Usiigize, be real.
 
Back
Top Bottom