Mtoto wakiume ukipewa elim ishike ukjifanya mjuaji utapakuliwaKuwadis wanaume wenzako ni uchoko.
Mwanaume wastyle hii nadhan unabid ahamie upande wapili, mke umemtolea mahali comcontrol unataka kuwekewa vikao...pambavuuuuSimply the truth, I am married for 5 years and sijawahi mpiga hata kofi, kuna Wakati. I wish ningepata pa kumshtaki, au Mtu logical wa kutusikiliza, kwetu aibu, kwao wanamtetea, kwa watukishi sometimes wanachulia magomvi yenu advantage kumtongoza mke, mnatunyanyasa sana!!!
Umeona eeehMbona hata Wewe kwa haya maelezo yako unaonekana pia ni miongoni tu wa " wale wale? "
Mwambie huyoo..hahahahaMwanaume kumtumia msg mshikaji wako huku umeandika MY ni uboya
Mwanamke kuweka x penye s ni uchoko
Wanaume mchele mchele watakuja kukutukana mda si mrefu mleta mada
Mwanaume wastyle hii nadhan unabid ahamie upande wapili, mke umemtolea mahali comcontrol unataka kuwekewa vikao...pambavuuuu