Aliyoyanena ninayaona kila kukicha.
Aliyoyanena ninayaona kila kukicha.
Sitashangaa kwani wanaume hamtabirikiunaweza kushangaa kikakutokea kipya kuwahi kuonekana. [emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
yamekukuta? Mzee wa watu pole...unaongelea wanaume na sio mwanaume,katika wingi sifa zinazidi kwenye umoja znapungua ila mwanaume ni mwanaumeOne thing for sure mwanaume akiamua kukupenda na kukuheshimu atafanya hivyo asipoamua basi haitakuwa hivyo,
unaweza kukutana na mwanaume leo ukalala naye kesho na bado atakuheshimu na kukupenda kwa kipindi chote cha mahusiano lakini pia unaweza kumfanya asubiri hata baada ya miezi au mwaka ndo mshiriki tendo la kikubwa na badaada ya hapo akakudharau na kupunguza upendo,
Unaweza ukawa mrembo na unavutia na bado asikupende akampenda mtu ambaye wewe unaona kabisa umemzidi,
Mwanaume anaweza akawa anatamaa na watu wenye maumbo yakuvutia lakini anayempenda kwa dhati ni yule ambaye mwembamba kama mimi
Mwanaume hatabiriki so mwanamke mwenzangu just love and have confidence on yourself,Mwanaume akikupenda atakuheshinu haijalisha mmekutana mazingira gani
***PEACE PEOPLE***
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitashangaa kwani wanaume hamtabiriki
Vipi siku tukiamua kueleweka nyie mtatabirika?
Mbona hamna shida yoyote hapo?Au mlipenda iweje?Kwamba ukimbania mwaka mzima ndio akuoe?One thing for sure mwanaume akiamua kukupenda na kukuheshimu atafanya hivyo asipoamua basi haitakuwa hivyo,