Wanaume hatuwezi kutunza hela

Wanaume hatuwezi kutunza hela

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,634
Reaction score
57,010
Tusemeni tu ukweli wanaume kwenye suala la ku tunza akiba aisee ni 0 yaani tunatumia hela yote hatuwezi kuweka pesa ni Bora chenji chenji tuwe tunawapa wanawake zetu siku una shida hata ya buku kadhaa anakutoa mkeo.
 
Kama huna Heshima na Pesa unayoitafuta kwa Jasho..hamna mwengine atakayekaa awe nayo Heshima.
 
Pesa ni kitu cha kubadilishana kwa bidhaa au huduma, hivyo si kitu cha kukiweka ni bora utafute njia ya kuzalisha pesa na wakina mama ndiyo wanaweza kuwa wazalishaji wazuri wa pesa kuliko wakina baba, mpe mkeo mtaji wa biashara na si vijisenti ili uone maisha yako yatakavyobadilika kiuchumi.
 
Back
Top Bottom