COMOTANG JF-Expert Member Joined Jan 6, 2021 Posts 2,131 Reaction score 1,830 Dec 22, 2021 #21 Expert911 said: Nina mpango wa kuhonga hii dunia alooo Click to expand... Kwani yakoooo?
mwekwa ntandu JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,476 Reaction score 3,665 Dec 22, 2021 #22 Wanawake msishauke mkangoja zali la mentali,ukiona mwanamke amezawadiwa ndege ujue na yeye ana uwezo wa kuimiliki hiyo ndege bila kuhongwa.Mzungu sio mwehu pesa inaenda kwenye pesa.
Wanawake msishauke mkangoja zali la mentali,ukiona mwanamke amezawadiwa ndege ujue na yeye ana uwezo wa kuimiliki hiyo ndege bila kuhongwa.Mzungu sio mwehu pesa inaenda kwenye pesa.
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 15,002 Reaction score 35,475 Dec 22, 2021 #23 Extrovert said: Mbaya zaidi baada ya miezi 6 unasikia amegongwa na best yako kwa zawadi ya iPhone tu na mdoli! Ati wewe haukuwa romantic mtu ulielipa usd 15M kununua privat jet ya siku yake ya birthday[emoji28] wakati uko busy na majukumu ya ku replace $ zako. Click to expand... Mdoli [emoji2] jaman
Extrovert said: Mbaya zaidi baada ya miezi 6 unasikia amegongwa na best yako kwa zawadi ya iPhone tu na mdoli! Ati wewe haukuwa romantic mtu ulielipa usd 15M kununua privat jet ya siku yake ya birthday[emoji28] wakati uko busy na majukumu ya ku replace $ zako. Click to expand... Mdoli [emoji2] jaman
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 15,002 Reaction score 35,475 Dec 22, 2021 #24 DeepPond said: Ndo Ile uko zako na mamkwe na mkweo Apo airport mnashuhudia tukio, Unaskia mama mkwe wako anasema. "Huyu ndo mwanaume Sasa"[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... [emoji23]
DeepPond said: Ndo Ile uko zako na mamkwe na mkweo Apo airport mnashuhudia tukio, Unaskia mama mkwe wako anasema. "Huyu ndo mwanaume Sasa"[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... [emoji23]
Pool Table JF-Expert Member Joined Jan 30, 2020 Posts 1,680 Reaction score 2,895 Dec 22, 2021 #25 Mimi binafisi hao wenye mashepu nawapenda kwa matumizi tu ila wenye shape za huyo dada ndy wa kuoa sasa
Mimi binafisi hao wenye mashepu nawapenda kwa matumizi tu ila wenye shape za huyo dada ndy wa kuoa sasa
Hum B JF-Expert Member Joined Sep 17, 2014 Posts 1,072 Reaction score 1,554 Dec 23, 2021 #26 Expert911 said: Nina mpango wa kuhonga hii dunia alooo Click to expand... Acha roho mbaya ndugu yangu, sisi tuka ishi wapi? ,haya maisha tu
Expert911 said: Nina mpango wa kuhonga hii dunia alooo Click to expand... Acha roho mbaya ndugu yangu, sisi tuka ishi wapi? ,haya maisha tu
Bazenga01 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 1,195 Reaction score 2,209 Dec 23, 2021 #27 Scars said: Nimekuwa inspired ngoja namimi nimfanyie hivyo demu wangu Namchukua mpaka pale julius nyerere airport akiwa na kitambaa usoni afu namfungua anakutana na twiga wa ATCL Click to expand... Anakutana na kitu cha 'HAPA KAZI TU' Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Scars said: Nimekuwa inspired ngoja namimi nimfanyie hivyo demu wangu Namchukua mpaka pale julius nyerere airport akiwa na kitambaa usoni afu namfungua anakutana na twiga wa ATCL Click to expand... Anakutana na kitu cha 'HAPA KAZI TU' Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Kadhi Mkuu 1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2015 Posts 22,628 Reaction score 28,573 Dec 23, 2021 #28 Expert911 said: Nina mpango wa kuhonga hii dunia alooo Click to expand... Kama Mugabe alitaka kuhonga nchi yake!
Expert911 said: Nina mpango wa kuhonga hii dunia alooo Click to expand... Kama Mugabe alitaka kuhonga nchi yake!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,396 Reaction score 195,230 Dec 23, 2021 #29 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...