Reghia
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 126
- 113
Nilipomaliza form six alitokea bint mmoja ambae at that time alikua amemaliza form four akawa amenipenda sana ofcoz nilimpenda sana lkn badaee nikaja nikahis kama bado mdogo nikamwambia kama vp tuwe marafiki tu mpaka atakapo fika six ... bad luck matokeo yalivotoka akawa amefel
Kiukweli niliumia af nikahis kama future yake iko ruined iv af upendo wangu kwakwe ukazid poteaa na mwishowe nikamwambia sikutaki kama vp fanya mambo yako... Sasa last year yule bint akabahatika kupata credit akajiunga na chuo furani mbeya,
Sasa akiwa likizo na mm nikawa nimemaliza chuo ile kumuona daah moyo ukanidunda paaa.. mtoto kapendeza na anasifa zote za kuwa wife .. kiume nikamfuata nikampa hi akafurahi kuniona tukapiga story mbili tatu then tukapeana namba za simu then nikasepa coz zile za kwanza nilizifuta long time.
Sasa bwana usiku wake nikaanza chati naee nikamuuliza habari za siku na mambo mengine. After kama mwez nikaamua kumuomba kurudiana na yeye, akagoma nikahis anatania... nikaamua kukaza ili nione msimamo wake ,daah she aliendelea kugoma, tukaenda mpaka mwezi saba mwaka huu nikawa namuomba kurudiana akaendelea kukata nikimuuliza sababu anasema anaogopa nisije muumiiza tena na yupo single hahitaji mtu till anamaliza diploma yake..
After kama miez 9 ya kuomboleza nikaamua kugive up till now.. in short sina mawasiliano nae sana ingawa yeye hunipigia simu mara moja moja kunijulia hali. Mtoto ni mzuri na kwao mambo mazuri na zaid ni mcha Mungu. najuta kwnn sikumpa nafasi anayostahili.
In short kuna haja ya sisi wanaume kufikiria sana kabla hujaamua kumuacha mtu ambaye anakupend kwa dhati tena kwa sababu zisizo za msingi.
Na kama tukiamua kuwaacha basi tusiwasumbue tena after time eti kisa kawa mzuri au kapata mafinikio
Dudes take it plz.